Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge.

Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako

291224110_6381512508531855_6090867211335140695_n.jpg
 
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa wabunge.

Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
Takataka ya chooni
 
Bravo! Madam Samia Suluhu Hassan, the president that listens to the people.

Thumb up.
 
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge.

Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako

Stori za kufurahisha genge hizo.
 
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge.

Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
Yaani kama kusingekuwa kuna kufungiwa ulistahiki tukano lisilo mfano. Hata hivyo inawezekana hauna akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom