udahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

    Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu. Naomba msaada juu ya hili jambo, Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
  2. fikiricodes

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

    Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika. Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU: Dirisha la maombi ya udahili kwa Shahada ya Kwanza (2026/2027) lipo wazi leo Julai 10, litaendelea hadi Agosti 10, 2026

    TAARIFA KWA UMMA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZΑ ΚΑΤΙΚΑ ΤAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Mfumo wa udahili wa mwaka 2025/26 na majibu yaliyotangazwa jana umekuwa kandamizi na unaumiza wanafunzi pamoja na wazazi. Wanafunzi wanapochaguliwa mara mbili au zaidi, wakijaribu kufanya confirmation kwenye chuo na programu wanayoitamani, wanapokea ujumbe “program imejaa”. Hii inakuwa kama...
  5. T

    JamiiForums Tanzania NACTVET website yenu kwa ajili ya udahili mbona haifunguki ?

    Wakuu, husika na kichwa hapo nimelimdanyia maombi ya chuo ndugu yangu kwa ngazi ya diploma lakini kila siku nikijaribu kuingia kwenye website ya nactvet CAS mfumo unagoma. Nashindwa kujua hii shida ni kwangu tu au ja wengine mmekutana na hii changamoto?
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kufanya udahili Chuo cha DIT - Dar es Salaam, Index Number Kidato cha 6 haikubali

    Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi option ya kuendelea hata ukiendelea unakurudisha hiyo stage. Kiufupi kuna changamoto na mbaya...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yafungua Dirisha la Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026

    KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA ΚΑΤΙΚΑ TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu ndani na nje ya nchi kuwa dirisha...
  8. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Bunge latatua mgogoro kati ya Wizara ya Afya na Wamiliki wa Vyuo vya Afya Nchini kuhusu Vigezo vya Udahili

    Tarehe 18 Oktoba 2024 ilikuwa siku ya kihistoria baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia kwa Waziri wake Prof Adolph F. Mkenda kuwasilisha taarifa kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kwa namna Serikali ilivyoshughulikia malalamiko ya wamiliki wa Vyuo vya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Programu zenye nafasi 2024/2025

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 umekamilika. Majina...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusitisha Udahili wa chuo?

    Niambieni namna ya kufnya kama chuo kimekuchagua kimoja alafu kikajicomfirm chenyewe na wewe hukitaki
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU yafungua Dirisha la Udahili kwa vyuo Awamu ya Pili, kuanzia Septemba 3 hadi 21, 2024

    Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imekamilika. Majina ya waliodahiliwa katika awamu...
  12. proff g

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya ualimu vyatunishiana misuli na vyuo vikuu kwenye sifa za udahili

    Mwaka wa masomo 2024/2025 umekuwa wa tofauti kuliko miaka nyumba, kupitia wizara ya Elimu kumekuweko na mabadiliko ya kimitaala katika uendeshaji wa Elimu yetu. Moja ya madiliko ni kuwekwa Kwa vigezo vinavo fanana Kwa ngazi tofauti mfano nihili la vyuo vikuu na vyuo vya ualimu kuwa na vigezo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dirisha la udahili wa masomo chuoni limefungwa, nafanyaje kurudishwa kwenye mfumo

    Kijana alikuwa na tatizo la ada mpaka dirisha linafungwa akawa hajalipa ada ingawa alikuwa na control number. sasa amelipa karo/ada, only to find that he has been delete from the system. msaada gani anaweza kupata kurudishwa kwenye mfumo aweze kuendelea na shule?
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa Muhimbili tulioomba mkopo kwa Diploma hatujapata, HESLB wapo kimya na Udahili unafungwa wiki ijayo

    Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu yafungua awamu ya Nne ya Udahili kwa Wanafunzi wa vyuo

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, akizungumza na Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2023 kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la Awamu ya Nne ya dirisha la Udahili kwa programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Tume ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

    Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi mmoja anadahiliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa kozi tofauti au kwa kozi ileile. Hii ni stage ambayo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Yataka Udahili wa Vijana BBT Uongezeke

    UVCCM YATAKA UDAHILI WA VIJANA BBT UONGEZEKE Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Mohammed (Kawaida) ametaka juhudi ziongezwe kuhakikisha idadi ya wanaodahiliwa katika mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) kila muhula inaongezeka. Ndugu Kawaida ametoa kauli hiyo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Udahili wa Walimu wapya usitishwe au kuwekewa masharti magumu

    Kuna idadi kubwa ya waalimu graduates kutoka vyuo mbalimbali alafu Ajira za ualimu zimekuwa finyu. Kukabiliana na janga hili la waalimu jobless yafuatayo yafanyike: 1. Serikali iache mara moja kuweka kipaumbele cha mikopo ya elimu ya juu kwa watu wanaosomea ualimu badala yake ikopeshe vijana...
  20. HEKIMA itawale

    JamiiForums Tanzania Miongozo dhaifu imeathiri udahili wa wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma Vyuo Vikuu vya Tanzania

    Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania. Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
Back
Top Bottom