KERO Makondakta Stendi Kuu Nyegezi wanavamia abiria na kusababisha upotevu wa mali zao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo.

Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK.

Asubuhi nimeshuhudia abiria kaibiwa simu katika virugu hizi.

Naona nisaidie kuripoti Hilo. Ni kero.
 
Back
Top Bottom