Mawakala wa Mabasi, Makondakta na Wamiliki Mabasi wana ujanja ujanja (Utapeli)

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
175
345
Kwa mliowahi kutembea nje ya Africa naomba mnipe uzoefu wenu mliyoyaona Uko nje ya Afrika hususani kwenye Swala la usafiri wa mabasi yanayoenda safari ndefu kutoka Mji fulani kwenda mwingine maana kwa Tanzania kuna usanii mwingi kwenye usafiri wa mabasi.

Kama Kuna changa Moto ulishawai kutana nayo kwenye usafiri wa Tanzania unaweza pia kuorodhesha.
Ila usitaje Campan.

Tatizo nililoliona mm unapanda Gari X unakatiwa Tiketi W. Pia mtu amechelewa Busi unapokuja wewe Kupata Tiketi unakuja usanii.

Ukikataa kutoa Pesa mpaka wakupe Tiketi wanagoma wanakuambia Leta Hela kwanza.

Pia ukitoa Pesa Kupata Tiketi Inakuja walio edit wanakutumia kwa Namba ya wakala (Agent wa usafirishaji).
Mfumo wa mtu akichelewa bus siti wanauza kwa mtu mwingine Bila Tiketi naandika hivi nipo ktk Bus. Jilani Yangu Hana Tiketi.

Kwa watu walio safuri nje naomba uzoefu wenu katka hili.
 
Wamiliki mabasi waondoe humo kuwaingiza humo ndugu
 
Inamaana

Hawa makala,Makonda na Madeleva watafanya huu mchezo pasipo Wasimamizi na Wamiliki kujua huo mchezo, Abiria akichelewa kupanda Bus. Abaria anaekuja mwingine anauziwa hiyo siti Bila Tiketi huo mchezo Uko kwenye ma Bus Mengi Tanzania.
 
1. Wenye mabasi ni mfano wa akina Shabiby, Abood, Msukuma na wengine bungeni huko.

2. Wenye mabasi, madala dala nk hawamo kwenye utendaji wa kila siku, kila wakati mabarabarani huko.

3. Mabarabarani na stendi huko kuna wabrashi viatu, wapiga debe, madereva, makonda, ma inspekta, madalali nk ambao wote hao lao moja.

4. Ushauri wa bure latra, polisi, au serikali kwa ujumla yenye mwendokasi, TRC, atcl, tanesco, ttcl, Uda, kamata, kaudo, kauma, moretco, MV Bukoba, nk ingetia timu kwenye mabasi pia ili tuone; maana wao kwa mawazo yako: wawe nao wapi uhuni, ubabaishaji na upumbavu unaoonekana kupenda kuwavesha wasiohusika kwa chuki binafsi za kibongo bongo?
 
Back
Top Bottom