stendi kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    DOKEZO Jengo la Abiria Stendi Kuu ya Magufuli halina umeme siku ya pili, Watu wapo gizani

    Naomba ujumbe huu mfupi tu uwafikie wanaohusika kuwa hapa kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal), upande wa jengo la abiria na sehemu nyingine kadhaa hakuna umeme. Leo ni siku ya pili sasa hali bado ni tete, hakuna umeme na usiku usalam wa abiria unakuwa shakani...
  2. A

    DOKEZO Mvua ikinyesha Stendi Kuu ya Magufuli, maji yanatuama sehemu ya kuegesha mabasi

    Nimejiuliza hivi Wakandarasi wanaojenga vituo vya mabasi huwa wanachaguliwa kwa kuangalia vigezo gani? Nasema hivyo kwa kuwa vituo vingi huwa vizuri vikiwa vipya tu baada ya muda changamoto mbalimbali zinaanza kujitokeza. Vingine huwa vinakuwa vibovu au havikidhi vigezo kuanzia mwanzo kabisa...
  3. A

    DOKEZO Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma inatia aibu kwa mazingira machafu

    Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku. Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana ya ushuru kila siku lakini majani yamezidi, hata kuyafyekwa imeshindikana. Hii ni aibu, Uongozi wa...
  4. A

    KERO Makondakta Stendi Kuu Nyegezi wanavamia abiria na kusababisha upotevu wa mali zao

    Habari, Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo. Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK. Asubuhi nimeshuhudia abiria kaibiwa simu katika virugu hizi. Naona nisaidie kuripoti Hilo. Ni kero.
  5. Zanzibar-ASP

    KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

    Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
  6. M

    Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  7. TUJITEGEMEE

    Stendi Kuu za Mabasi Kigoma na Kaliua- Mabwana Afya wajipime

    Salaamu Wakuu: Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sote tuitikie: Kazi Iendelee! Moja kwa moja kwenye mada. Mbali na utaratibu mzuri walionao uongozi wa stendi wa kuwaelekeza utaratibu wa hapo stendi wasafiri wanaotumia eneo hilo wakati wa alfajiri; bado Bwana Afya...
  8. BigTall

    Stendi Kuu ya Arusha kuanza kujengwa ndani ya siku 30 zijazo

    Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe amempongeza na kumshukuru Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geoffrey Pinda kufuatia maelekezo yake aliyoyatoa kuwa Ujenzi wa Stendi Kuu Arusha uanze ndani siku 30 nakuonya kwa yoyote anayekwamisha. MABORESHO STENDI YA SASA...
  9. wilcoxon

    Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  10. K

    Kero Stendi Kuu ya Moshi

    Nimesoma taarifa ya kero stendi ya Moshi, mkoani Kilimanjaro na nimeona hao viongozi wa mji ni bure kabisa. Watu wananyang'anywa mizigo, kukatiwa tiketi nje ya ofisi, tena mtu mmoja anakata tiketi kwa mabasi hadi saba, wakiwa wamelewa, wachafu hawaogi, lugha za matusi, kupora pesa abiria...
  11. K

    Kero Stendi Kuu ya Moshi

    Nimesoma taarifa ya kero stendi ya Moshi, mkoani Kilimanjaro na nimeona hao viongozi wa mji ni bure kabisa. Watu wananyang'anywa mizigo, kukatiwa tiketi nje ya ofisi, tena mtu mmoja anakata tiketi kwa mabasi hadi saba, wakiwa wamelewa, wachafu hawaogi, lugha za matusi, kupora pesa abiria...
  12. Robert S Gulenga

    Waziri Bashungwa, kuhusu Stendi Kuu ya Dar es Salaam, Tusaidie Watanzania

    Mhe. Innocent Bashungwa (MB) Waziri wa Nchi OR - TAMISEMI, Hongera kwa kazi nzuri unayofanya ya kuendelea kumsaidia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mhe. Waziri abiria waliolalamika au kukataa kushuka pale stendi ya mkoa wa Dar Es Salaam wana hoja ya msingi...
  13. Rufaro

    Tumeanza kulazimisha mabasi na abiria kwenda kupakia stendi kuu?

    Sijui niseme ni kukosa hekima au ni makusudi. Baadhi ya makampuni ya mabasi waliamua kukodi ama kujenga vituo vyao binafsi vya mabasi kwa ajili ya urahisi kwa abiria wao na kuepuka usumbufu usio wa lazima kutoka kwa wapiga debe huko stendi na hata wizi. Na naamini kama ni kukodisha ina mana...
  14. Replica

    Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
  15. J

    Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

    Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa. Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao. Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
  16. J

    RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

    Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope. RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye...
  17. ichumu lya

    Stendi Kuu Bukoba ni aibu tupu

    Nani aliwaroga Wahaya? Inawezeka aliyewaroga alikufa na ndumba zake, ni lini Kagera itarudisha heshima ya NSHOMILE? Hii ni stendi kuu ya Bukoba. Kwa sasa hali iko ivi ukiingia stendi inabidi ununue mabutusi uvue viatu alafu ukunje nguo yako kwa chini ndio uingie stendi kuu. Niaibu kwa Wahaya...
Back
Top Bottom