suti

Suti is a town, with a police station, not identified in 2011 census as a separate place, in the Suti II CD block in the Jangipur subdivision of Murshidabad district in the state of West Bengal, India.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukikataliwa na Mungu unakosa sifa zote za ubinadamu, unakuwa mnyama si mnyama, ndege si ndege na watu wanakususa!

    Kuna mtu kakataliwa na Mungu aliyemuumba, Mungu anatumia umma kumwadhibu, Farao yule wa Misiri, alifanywa moyo wake kuwa mgumu ili aendelee na ushetani wake ili aje kujionea ukuu wa Mungu kwa macho yake, ndivyo ilivyo sasa katika nchi Fulani, mtu huyo katiwa ugumu wa moyo ili aone ni sawa kwa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

    Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
  3. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania wepesi wa kusahau. Kuna ile kashfa ya Kikwete kununuliwa suti za jamaa wa Dubai, ile scandal iliisha kimya kimya. Mjueni Kikwete vizuri.

    Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya kushona suti za kiume

    Hi wanaJF na wanafashion designers, Naomba msaada wenu kwa mafundi wa suti Dar. Nataka kushona suti nzuri kabisa Kwa event ambayo nitahudhuria October 2025. Bei take ni kiasi gani nikiwa na kitambaa. Asanteni kwa mchango wenu. Alamsiki
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Freeman Mbowe akubali kushiriki Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekutana naye akipima Suti

    Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA. Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA. Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam. Baada ya...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mfumo wa kifalme uliovaa suti ya kidemokrasia

    Kinaoendelea Tanzania ni mfumo wa kifamilia, kifisadi na kiukoo unaovaa kanzu ya "amani na utulivu". Tuuchambue kwa kejeli kali na ukweli mchungu: 1. Salma Kikwete kapita bila kupingwa Mama wa kifalme. Si kwa sababu ya uwezo, bali kwa jina tu. Watu wanashangilia kama vile kapita kwa mapenzi...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Suti Kali ya Kiume! Imetumika Siku Moja Tu - Maongezi yapo!

    Suti hii imevaliwa siku moja tu na ipo katika hali nzuri kabisa, kama mpya! Inajumuisha: Makoti Mawili: Rangi nyeupe na nyeusi. Suruali: Kiuno size 31/32. Kizibao Tai nyeusi Bei: Laki Sita TZS (600,000 TZS). Maongezi yapo! Suti inapatikana Ubungo Makuburi, Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi...
  8. Tormenter

    JamiiForums Tanzania Ukiwa boss, usilewe na suti. Kesho ni jana ya keshokutwa yenye majuto na gharika

    Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini. Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza. Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole andaa Suti

    Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini, Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka Britanicca
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

    Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani! Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
  11. ITR

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa nchi kuvaa suti bila tai ikoje kiitifaki?

    Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
  12. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ama kweli katika siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Alaumiwe mama Abdul, vijana wa Kaunda suti, au viongozi wa chama?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan. Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ombea magauni na suti mnazovaa harusini; kuna zenye maagano ya kutengana, vifo, kutokuzaa n.k

    Kwa wewe umeoa au kuolewa, hapa ujiombee na kuomba toba na rehema kwa ajili yako na nguo ulizovaa. Hujaoa? Nikujulishe tu kwamba baadhi ya mavazi mnayovaa yana maagano ya vifo, kutengana, kutokuzaa. Kuna koo ambazo hazikai na mke au mume zaidi ya miezi 6. Vita vya ndoa vimejaa huko. Leo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wapi napata kaunda suti maridadi?

    Wapi napata kaunda suti matata? Nahitaji kuivaa kesho, nina tukio la kushtukiza. tf.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kubadilibadili wateule kama kubadili suti hakuna tija

    Tangu serikali ya awamu ya sita iingie madarakani inaelekea kazi ya kuteua na kutengua imegeuka kama sehemu mojawapo ya majukumu muhimu sana ya serikali hiyo. Mpaka imefikia hatua wananchi wanashindwa kuelewa haswa viongozi wao wa wizara, na taasisi mbalimbali ni akina nani. Maana imegeuka kama...
  17. doctor_clothing_store

    JamiiForums Tanzania KAUNDA SUTI ZA WATOTO

    Mambo vipi wadau wa JF. Leo nimewaletea Kaunda suti za watoto wadogo miaka 2 - 17. Sifa za Kaunda suit 👇 Quality materials ✅ 100% cotton wool materials ✅ Bei👇 Tsh. 95,000/= WhatsApp/call: 0712878245 Location: Kariakoo, Manyema na mchikichi street-Dar es salaam. Tupo nyuma ya jengo la Simba...
  18. doctor_clothing_store

    JamiiForums Tanzania Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba hasomeshwi, muhanga SutiBega

    --- Kupitia akaunti yake ya Instagram Sutibega_ anaandika: "Wakati kakaangu Haji Manara anatafuta mke sahihi nilikuwa sielewi kwani niliambiwa wanaake wengi hawajui kushukuru hawajui thamani ya mtu anejitoa na kupambana hakuna siku nimeumia kama leo nakutambua kumbe nilikuwa daraja la mafanikio...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

    Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu. Tuliokuwepo...
Back
Top Bottom