king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rafiki, leo tunaishi katika siku ngumu na mambo magumu sana sisi, nchi na taifa letu la uturuki

    MAKALA IFUATAYO INAELEZEA TUKIO HILO KATIKA NCHI KAMILI. UKISOMA MARA NYINGI, NDIO MAHALI PA KUSOMA TENA. NI UJUMBE WA THAMANI SANA WENYE MATOKEO YA THAMANI SANA. TAFADHALI SHARE NA WAPENDWA WAKO. HAYA NI MAJUKUMU YA SERIKALI. PIA NI VITA KUBWA VYA HAKI NA KUSHINDWA. 🔴 ACHANA NA VITA VYA...
  2. Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  3. Vita ya Abushiri kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889

    Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani. Wajerumani waliita "Uasi wa Waarabu". Viongozi Viongozi wake waliojulikana zaidi walikuwa Abushiri ibn Salim...
  4. Afrika ya Mashariki ya Kijerumani

    Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo Mwaka1888) Sarafu ya rupia 1 iliyotolewa kwa jina la "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya Mashariki); tangu 1904 zilitolewa kwa jina la koloni yenyewe bila kutaja kampuni tena Afrika ya Mashariki ya...
  5. LHRC, Amnesty International wataka Mbowe aachiwe na uhuru wa kisiasa uheshimiwe Tanzania

    Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza. Mashirika yanayotetea haki za binadamu yameikosoa vikali hatua ya Jeshi la Polisini nchini Tanzania ya kuwakamata baadha ya viongozi wa chama cha upinzani nchini humo Chadema...
  6. Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  7. Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

    Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
  8. TB Joshua: Afungiwa akaunti ya Youtube kwa 'kuwaponya watu wa mapenzi ya jinsia moja'

    Akaunti yake ya YouTube ilikuwa na wafuasi milioni 1.8. YouTube imesimamisha akaunti ya mhubiri maarufu wa Televisheni wa Nigeria TB Joshua juu ya madai ya matamshi ya chuki. Shirika moja la kutetea haki liliwasilisha lalamikoa baada ya kukagua video zisizopungua saba zikimuonesha mhubiri huyo...
  9. Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  10. Barrick Gold yakaribia kufikia malengo yake Tanzania

    Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold imetangaza kuwa imezalisha dhahabu karibu wakia 500,000 kutoka kwenye migodi mitatu iliyopo Kaskazini mwa Tanzania, mwaka jana. Hii ni mara ya kwanza kwa kampuni ya Barrick kushirikiana moja kwa moja na serikali ya Tanzania katika...
  11. Mtanzania agongwa na gari na kufariki papo hapo mjini Antalya nchini Uturuki

    Kofia ya Pikipiki ya Marehemu iliyomtoka kichwani wakati wa ajali. Breaking News:: Mtanzania Mwenye Asili ya kutoka Kisiwani Pemba nchini Tanzania akiendesha Pikipiki mjini Antalya nchini Uturuki amepatwa na ajali ya kugongwa na Gari na kufariki papo hapo juzi saa 10 na nusu jioni. Marehemu...
  12. Tatizo la Mimba Kutunga Nje ya Mfuko wa Uzazi (Ectopic Pregnancy)

    Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…