wasafiri

Wasafiri is a quarterly British literary magazine covering international contemporary writing. Founded in 1984, the magazine derives its name from a Swahili word meaning "travellers" that is etymologically linked with the Arabic word "safari". The magazine holds that many of those who created the literatures in which it is particularly interested "...have all in some sense been cultural travellers either through migration, transportation or else, in the more metaphorical sense of seeking an imagined cultural 'home'." Funded by the Arts Council England, Wasafiri is "a journal of post-colonial literature that pays attention to the wealth of Black and diasporic writers worldwide. It is Britain's only international magazine for Black British, African, Asian and Caribbean literatures.”

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Mtetezi wa wasafirishaji amepandisha nauli, mtetezi wa wasafiri mbona kimya?

    Kupanda kwa nauli za daladala na mabasi ya mikoani kungeendana na maboresho ya huduma husika. Mathalani miundombinu ya stendi, mfano sehemu za kupumzika abiria, muda wa kuondoka mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari, ubora wa vyombo vya usafiri na unadhifu wa watoa huduma nakadhalika na...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Nini sababu ya wasafiri wa vijijini kukaa kila mtu na kituo chake?!

    Moja ya ushahidi wa baadhi ya wanakijiji kutotumia akili ni suala la wao kuchagua apandie wapi gari. Sio kukusanyika kwenye kituo kimoja cha karibu. Unakuta kituo kinafahamika lakini yeye anakaa mita 200 ya kituo anataka gari limfuate. Hata mwingine atakaa mbele kidogo ya mwenzie. Nimeshuhudia...
  3. S

    Usalama wa wasafiri Arusha siku ya leo, Julai 3, 2023

    Ninaanza kwa masikitiko makubwa sana sina muda wa salamu. Kila Mtanzania anajua kinachoendelea Arusha leo sitaki kuelezea hilo, ila nitaenda moja kwa moja kwenye mada, mnisamehe kwa uandishi mmbovu. Leo hii jiji kubwa la Arusha liko kwenye kadhia kubwa ya usafiri wa umma kutokana na mgomo wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Wasafiri Wanaotumia Njia za Mbuga za Wanyama Wasihesabiwe kama Watalii

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema Wizara isiwahesabie abiria kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine kwa kupitia njia zilizopo kwenye Mbuga za Wanyama kama Watalii wa ndani kwani hawaigizi fedha za...
  5. Expensive life

    Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

    Ndugu zangu, kwanini wasafiri wengi hupendelea zaidi kukaa dirishani iwe kwenye basi ndege hata meli wakati wa safari? Kuna watu wakikosa siti dirishani wapo tayari kuairisha safari.
  6. BARD AI

    Tahadhari ya Marburg: Wasafiri kupimwa joto Kagera, watakaobainika kuzuiwa safari

    Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini, Serikali imetoa mwongozo wa wasafiri kote nchini kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja. Machi 21 Serikali kupitia Wizara ya Afya ilithibitisha uwepo wa ugonjwa Marburg katika...
  7. JanguKamaJangu

    #COVID19 China yazuia visa za wasafiri kutoka Korea Kusini, Japan sababu ya UVIKO-19

    Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
  8. JanguKamaJangu

    #COVID19 Marekani yaweka masharti ya kupima UVIKO kwa wasafiri wanaotoka China

    Uamuzi huo umefikiwa baada ya China kutangaza kufungua mipaka yake kuanzia wiki ijayo, maamuzi kama ya Marekani pia yamefanywa katika Nchi nyingine zikiwemo Italia, Japan, Malaysia, Taiwan na India. Baada ya takribani miaka mitatu ya vizuizi, China inatarajiwa kuruhusu wasafiri kusafiri kwa...
  9. Eleminator

    UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  10. luangalila

    Kuuziwa chakula bei juu kwa Wasafiri ni kero kubwa

    Hili janga ni kama limerejea tena kwa speed ya kasi mnooo fikiria unapokuwa safarini sahani ya wali maharage unanunu kwa 4000, wali nyama. 5000, kuku robo ni 10,000, Chaji ya rangi 1000. Kuwa msafiri sio kuwa kosa la kulanguliwa vitu bei juu au ndio kusema na wao wameathiriwa na vita vya Ukraine?
  11. ROOM 47

    Kero: TRC kitengo chenu cha IT kinasumbua wasafiri wa train ya deluxe

    Kumekuwa na hali ya kushangaza sana kwa wasafiri wa train ya Deluxe kutoka Dsm to Kgm hasa kwa abiria ambao wanakata ticket kupitia website zao hii imejirudia zaid ya mara nne katika kupata ticket online yaani wanawafungia wateja wasipate ticket kwenye website zao mpaka uende kwa mawakala wao...
  12. cupvich

    SoC02 Bei za vyakula na vinywaji katika hoteli zinazotumiwa na wasafiri mikoani si sawa waungwana wenzangu!

    Je, umewahi kusafiri safari ya umbali mrefu mfano kutoka Dar es salaam hadi Mwanza? Safari iliyokulazimu upite sehemu zinazotoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wasafiri ili uweze kupata chochote kitakachopoza njaa yako? Na je ulinunua Chakula au kinywaji? Kama jibu lako ni ndio leo utakuwa...
  13. Ngongo

    Askari Uwanja wa Ndege KIA wanaharibu taswira ya nchi kwa kubugudhi wasafiri

    Heshima sana wanajamvi, Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi zetu zilizojaliwa kila aina ya vivutio. Bahati mbaya yupo askari mmoja kijana Mwanaume anayevalia...
  14. Ntozi

    Fastjet ilikuwa mkombozi wa wasafiri

    Kama serikali ipo serious na biashara huria,basi ilikuwa ni wakati mwafaka kujadiliana na Fastjet ili warudi kuendelea na biashara yao ya usafirishaji nchini. Jamaa walikuwa smart sana na waliliteka soko vizuri sana. Bei zao affordable, na walizingatia muda kweli kweli. Mambo ya serikali...
  15. beth

    #COVID19 Marekani: Kanuni ya Wasafiri wa Kimataifa kupima COVID-19 yaondolewa

    Utawala wa Rais Joe Biden utaondoa Kanuni ya upimaji wa COVID-19 kwa Wasafiri wa Anga wanaoingia kutoka nje ya Nchi kuanzia Juni 12, 2022. Hatua hiyo itaondoa moja ya vizuizi vya muda mrefu vya kusafiri tangu kuanza kwa Mlipuko. Kanuni hiyo iliwekwa na Utawala wa Donald Trump mapema 2021 na...
  16. luangalila

    Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
  17. beth

    #COVID19 Umoja wa Falme za Kiarabu kuondoa marufuku iliyowekwa kwa Wasafiri wa Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya kusafiri. Marufuku hiyo itaondolewa kuanzia Januari 29. 2022 Mataifa mengine ni Kenya, Afrika Kusini...
  18. GENTAMYCINE

    Je, unadhani huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa alikuwa anawalenga hasa 'Wageni Wasafiri' kutoka Mkoa gani?

    "Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
  19. beth

    #COVID19 Ghana: Wasafiri wote lazima wapewe chanjo dhidi ya Corona

    Serikali ya Ghana imesema kwamba wasafiri wote wanaoingia nchini humo kuanzia saa sita usiku jumapili hii, wanastahili kuwa wamepokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona. Wizara ya huduma za afya imesema kwamba raia wa Ghana wanaopanga kurudi nchini humo wanalazimishwa kupokea chanjo wanaporejea...
  20. mwehu ndama

    Watendaji wa Maabara ya Taifa ya Tanzania mmeshindwa kazi!

    Wakuu, Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6. Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
Back
Top Bottom