Mtanzania agongwa na gari na kufariki papo hapo mjini Antalya nchini Uturuki

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,394
2,000
MTANZANIA AGONGWA NA GARI AKIENDESHA PIKIPIKI.jpg


KOFIA YA MAREHEMU.jpg

Kofia ya Pikipiki ya Marehemu iliyomtoka kichwani wakati wa ajali.


Breaking News::
Mtanzania Mwenye Asili ya kutoka Kisiwani Pemba nchini Tanzania akiendesha Pikipiki mjini Antalya nchini Uturuki amepatwa na ajali ya kugongwa na Gari na kufariki papo hapo juzi saa 10 na nusu jioni. Marehemu alikuwa anaitwa kwa jina Faisal Haji Omar mwenye umri wa miaka 27 Maiti ya Marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhi Maiti Mjini Antalya nchini Uturuki. Allah amsamehe makosa yake amin.
👇
😭


Tanzanya uyruklu motosiklet sürücüsü kazada öldü
Antalya'nın Döşemealtı ilçesinde kontrolünü kaybettiği motosikletiyle metrelerce sürüklenen Tanzanya uyruklu Faisal Haji Ömer (27) hayatını kaybetti.Kaza, saat 16.30 sırlarında Yeniköy Mahallesi Fatih Sultan Mehmet Caddesi Oska Siteleri önünde meydana geldi. TOKİ Konutları'ndan Yeniköy Mahallesi yönüne giden Tanzanya uyruklu Faisal Haji Ömer’in kullandığı 07 MA 6739 plakalı motosiklet, kontrolden çıkıp, refüje çarparak metrelerce sürüklendi. Kazayı görenlerin haber vermesi üzerine gelen sağlık ekipleri Faisal Haji Ömer’in olay yerinde hayatını kaybettiğini belirledi. Ömer’in cansız bedeni, Adli Tıp Kurumu morguna kaldırıldı. Öte yandan Ömer’in kaza sırasında kaskının başından fırladığı görüldü.https://www.cnnturk.com/.../tanzanya-uyruklu-motosiklet...

Tanzanian motorcycle driver dies in crash​

Faisal Haji Ömer (27), a Tanzanian national, who was dragged by his motorcycle, which he lost control in Antalya's Döşemealtı district, died.​

The accident occurred at 16.30 secrets in front of the Yeniköy District Fatih Sultan Mehmet Street Oska Sites. The motorbike with the plate 07 MA 6739, used by Faisal Haji Ömer, a Tanzanian citizen, who went from TOKİ Houses to Yeniköy Mahallesi, got out of control, hit the median and dragged for several meters. After the news of those who saw the accident, the health teams determined that Faisal Haji Ömer died at the scene. Ömer's lifeless body was taken to the morgue of the Forensic Medicine Institute. On the other hand, it was seen that Ömer's helmet popped out of his head during the accident. source. Tanzanya uyruklu motosiklet sürücüsü kazada öldü
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,887
2,000
Poleni wafiwa na mola amrehemu. Uturuki nako kumbe hakuna ustaarabu utadhani ni Bongo! Watu ''wanaijadili'' na kuipiga picha maiti kwenye ajali na hakuna polisi wala ambulance kwa haraka kwenye tukio.
 

lamaa

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
489
1,000
Lost iz never easy guyz!! ..... We have to live in the fulest!!!!!!!

 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,394
2,000
Poleni wafiwa na mola amrehemu. Uturuki nako kumbe hakuna ustaarabu utadhani ni Bongo! Watu ''wanaijadili'' na kuipiga picha maiti kwenye ajali na hakuna polisi wala ambulance kwa haraka kwenye tukio.
Huyo aliye vaa Barakoa na huyo anaye onyesha Maiti na mwengine wa karibu na maiti wote hao ni Ma-Polisi hao. Polisi walivyokuja Marehemu ameshafariki wanapiga picha na kupima kwa ajali jinsi ilivyotokea. Inasemekana Marehemu alishindwa kumudu kuendesha vizuri Pikipiki na kofia ya kinga yake ya kichwani ikaanguka na akakumbana uso kwa uso na gari ndio hapo ilipotokea ajali yake na kufariki papo hapo.Mungu amlaze pema peponi amin.
 

Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
977
1,000
TOKİ Konutları'ndan Yeniköy Mahallesi yönüne giden Tanzanya uyruklu Faisal Haji Ömer’in kullandığı 07 MA 6739 plakalı motosiklet, kontrolden çıkıp, refüje çarparak metrelerce sürüklendi.

Lugha tamu Sana hii Imenikumbusha kipindi nipo Eskişehir, Nabeba box.
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,887
2,000
Huyo aliye vaa Barakoa na huyo anaye onyesha Maiti na mwengine wa karibu na maiti wote hao ni Ma-Polisi hao. Polisi walivyokuja Marehemu ameshafariki wanapiga picha na kupima kwa ajali jinsi ilivyotokea. Inasemekana Marehemu alishindwa kumudu kuendesha vizuri Pikipiki akakumbana uso kwa uso na gari ndio hapo ilipotokea ajali yake na kufariki papo hapo.Mungu amlaze pema peponi amin.
Sasa mbona hawa-act kama polisi? Wamekaa kizembe zembe tu? Hakuna uzio na watu wengine wa kawaida wako karibu wanashangaa.
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,394
2,000
Sasa mbona hawa-act kama polisi? Wamekaa kizembe zembe tu? Hakuna uzio na watu wengine wa kawaida wako karibu wanashangaa.
Barabara kubwa hiyo inayopita Magari mengi na kuna Corona Virus Uturuki si unaona kila mtu anamuogopa mwenzake kukaa karibu naye? wanacho subiri kupima ajali nani mwenye makosa kisha Gari la wagonjwa Ambulanse lichukuwe maiti hapo.
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,141
2,000
ulevi?siku mbaya hizi acha chombo nyumbani ukapakaze, Dr Remmy aliimba wote tukiwa mafundi viatu,madereva nani atapata abiria? Nani atavaa kiatu kizuri.Acha gari home pkpk chukua taxi Always.
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,394
2,000
ulevi?siku mbaya hizi acha chombo nyumbani ukapakaze, Dr Remmy aliimba wote tukiwa mafundi viatu,madereva nani atapata abiria? Nani atavaa kiatu kizuri.Acha gari home pkpk chukua taxi Always.
Ni Dhambi kumhukumu mtu pasipo na kuwa na ushahidi wowote ule unapata dhambi lete toba kwa Mungu wako kwa kusema maneno huna uhakika nayo. Unasema maneno ya uongo kwanini Mkuu?
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
9,851
2,000
Tanzanian motorcycle rider dies in crash
Faisal Haji Ömer (27), a Tanzanian citizen who was dragged by his motorcycle, who lost his control in Antalya's Döşemealtı district, died for meters. The accident took place in front of the Oska Sites in Yeniköy District Fatih Sultan Mehmet Street at 16.30.

The motorbike with the plate 07 MA 6739, used by Faisal Haji Ömer, a Tanzanian citizen, who went from TOKİ Houses to Yeniköy Mahallesi, got out of control, hit the median and dragged for several meters.

After the news of the people who saw the accident, the health teams determined that Faisal Haji Ömer died at the scene. Ömer's lifeless body was taken to the morgue of the Forensic Medicine Institute.

On the other hand, it was seen that Ömer's helmet jumped out of his head during the accident.https: //www.cnnturk.com /.../ tanzanian-national-motorcycle ...
 

luirhu

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
782
500
Poleni,
Tuwe makini sana tunapo endesha vyombo vya moto. Ni hatari maisha ya kijana mwenzetu yamekatika ghafla kama upepo.
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,887
2,000
Barabara kubwa hiyo inayopita Magari mengi na kuna Corona Virus Uturuki si unaona kila mtu anamuogopa mwenzake kukaa karibu naye? wanacho subiri kupima ajali nani mwenye makosa kisha Gari la wagonjwa Ambulanse lichukuwe maiti hapo.
Bado nauliza: Mbona polisi wamekaa kizembe zembe na hakuna barrier yoyote na watu wengine wako karibu? Tena mpaka wameweza kuchukuwa picha?
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,394
2,000
Bado nauliza: Mbona polisi wamekaa kizembe zembe na hakuna barrier yoyote na watu wengine wako karibu? Tena mpaka wameweza kuchukuwa picha?
Mkuu Nimesha kujibu inaonekana una hasira na polisi wa Kituruki? Walio chukuwa picha ni mwandishi wa Habari sio polisi. Polisi kazi yao kuja kwenye tukio la ajali na kupima na kuita Ambulanse ili kuja kuichukuwa maiti, kazi ya kupiga picha ni kazi ya waandishi wa habari sio Polisi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom