Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,111
MAJUTO NI MJUKUU
Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa
Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa nane usuku atanifata tu maana hakuwa akipenda niendeshe gari usiku hata sikumoja, nikirud na tax ananifokea sana,,,, gari mafuta niliwekewa kila safari, vocha niliwekewa, alinikuta fresh from collage so hata kazi sikuwa nayo, akanitafutia kazi,baada ya ndoa, nikapata, na nikaanza, kuna kipindi akawa ananiambia niache gari anafeele proud kutembea na mimi kwenye gari, kifupi alinijali sana, sana sana,,,,,,,, sasa ile care yake ndio ninayoikumbuka hadi leo hii, wamama, wadada, wanandoa, kama una mwanaume anakujal mshikilie vizuri sana.
Si kwamba alikuwa hanithamini, alikuwa ananithamini sana tu, sikuwah kumfumania hata mara moja, ana likuwa muwazi sana kwangu, yani muwaz sanaaa, ofisn kwao walinijua, alipenda kunitambulisha kila kona,,,, kuna kipindi alienda south kikazi ikawa kila weekend ananitumia nauli naenda, siku zingine anakuja yeye hadi aliporudishwa huku, ni upendo wa ajabu,, Nilichofaidi kwake tu ni kwamba alikwenda kwetu akapaona palivyo, akasema atanisaidia kujenga, alivunja nyumba ile na kumjengea mama yangu kijumba kidogo cha kumtosha mwenyewe, akamuwekea mashamba, hadi leo namkumbuka, kwao yye kazaliwa peke yake, mama yake alifariki wakati amemzaa tuu, akasema anamlea mama yangu kama mama yake, hana dada wala kaka wa kuzaliwa tumbo moja, wako wa ndugu wengine tu
NATHIBITISHA KWA KINYWA CHANGU, COMPANY ULIYONAYO INAWEZA KUBADILI MSIMAMO NA KUSHUSHA AU KUZIDISHA HESHIMA YAKO,,, company niliyokuwa nayo mimi ilikuwa ni ya kupunguza heshima kwangu na ndio iliyoniponza, staki kuiongelea sana hilo maana wengi rafiki zangu wako humu, ila kifupi tu, nilifanya ujinga mno, naujutia hadi kesho,
Nikiwa na rafiki zangu tuliandaa mtoko kwenda bagamoyo kutembea lakini tukapanga tusiwaambie waume zetu ukweli, tudanganye maana wengi wasingekubali tukapanga safari tukasema uongo kwamba ni safari za kiofisi,( mme wangu hakuwa akinifatilia oficn kabisa) basi nikamwambia ni safar ya kikazi tunaenda bagamoyo, yeye oficn kwake ni boss, so anaweza kuondoka muda wowote bila swali, basi akasema nitakufata, sitawasumbua nitakaa hotelini tu, wewe ukimaliza kikao chenu utanikuta chumbani, nakumbuka siku hiyo nilichukia sanaaa, yani sanaaaa nilichukia nikamwambia hapana tunalala wawili wawili, akasema basi sawa nenda,
Alinipa hela ya kutosha nikaenda na rafiki zangu tulikuwa group ya watu wanne tu, watatu tumeolewa mmoja bado, basi kufika bagamoyo tuli have fun sana almost three days, nikiwa kule nikakutana na kijana mmoja ambae alinipenda sana (admin naficha jina,,,, ila tumpe KELVIN) basi alikuwa kaja na marafiki zake wengine nafikir nao kuhv fun,,
Sasa kila jioni tukiiniga buffet tunakutana nae, akaanza kunitongoza nikagoma, akamfata mmoja wa rafiki zangu akaomba namba akapewa, nashangaaa usiku akanipigia simu, nikakataaa, rafiki zangu walinisisitiza sana nimkubali, kijana mzuri, handsome, nikasema no, ninae mme wangu, simtaki huyu,,,,,
Siku naondoka akaja na diary moja nzuri sana kwenye gari yetu, akaniambia unaondoka nikasema ndio unataka nini, akasema don’t be dry like this akanipa diary yake niichukue kama kumbukumbu, nikakataa nilipofika mjin mr alinifata, akanipokea akaniambia tu mke wangu toka toka uende huko, nimekuwa mpweke sana,, wkati huo sikujua kama alipiga simu ofisn kuconfirm kama ni kweli niliondoka,,, akaambiwa nimejaza AD na sio kwamba nimesafiri kikazi,,, kumbe ukweli aliujua, nashangaa mwanaume huyu hakuniuliza chochote akakaa kimya tu, ila aniliona changez, coz tulipokuwa kweny gari alinikuwa ananiangalia sanaaaaaaaa,,, nikimtazama na mimi anageuka anaangalia pembeni,
Nikamuuliza vipi, akasema nilikumiss tu mke wangu,,,, tukafika home nikaoga nilikuwa nimechoka kesho asubuh tukaondoka, kila mtu na gari yake, kufika ofic hro hakuniambia chochote kama aliwasiliana na mme wangu aliniuliza tu, umepona? Nikasema ndio akasema karibu tena, basi kazi ikaendelea,,,,,,
Baada ya siku nne tu akaja yule kaka hado oficn kwangu na alielekezwa na mmoja wa hao best zangu, alipofika nilishangaa nikamuuliza nini kimekuleta hapa akasema tuongee kwenye gari, basi nikaingia, jamani ni kama nililogwa naweza sema kweli tena, kama hamtaamin basi ila naamini ALINIROGA HUYU KAKA, maana alivyokwua akiongea nikaanza kumpenda,,, nilizidi kumpenda kupita kiasi nikaanzak uona uzuri wkae, nikaanza kumcompare na franco wangu, naona huyu amemzidi kila kitu,
baadae aliniaga akasepa, tokea pale nikaanza kumpenda kupita maelezo .. ITAENDELEA...