shemeji

Buna shimeji (Hypsizygus tessellatus) is an edible mushroom native to East Asia. It is cultivated locally in temperate climates in Europe, North America and Australia and sold fresh in super markets. In nature, shimeji are gilled mushrooms that grow on wood. Most often the mushroom is found on beech trees, hence the common name, beech mushroom. They are often small and thin in appearance and popular in many nations across the world.Two variations are known:

Buna-shimeji (ja:ブナシメジ), Hypsizigus tessellatus, (Brown Beech Mushroom , Beech Mushroom, BeechBrown Clamshell Mushroom);
Bunapi-shimeji (ja:ブナピー), (White Beech Mushroom, White Clamshell Mushroom); bunapi was selected from buna-shimeji and registered by Hokto Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Top Gun

    JamiiForums Tanzania SHEMEJI: 'Mbona umefadhaika sana?' KIJANA: 'dah, shem, nimepigwa bandiko, acha tu'

    SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi? KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena nakuonagaa una type kwa hasira kabisa, ila mbona kazi nakuunganishiaga ufanye kazi eti unasema...
  2. fact only

    JamiiForums Tanzania Punguzeni kuwasema vibaya watu wanaoishi kwa shemeji zao

    Good_morning Wakuu. Naomba tupunguze kuwasema vibaya watu wanaoishi kwa shemeji zao. Mimi naamini hata wao hawapendi kukaa kwa shemeji. Pia na nyinyi Mashemeji acheni midomo wapeni fursa shemeji zenu. Jamii acheni masemango bali waonyesheni fursa hao watu wanaoishi kwa shemeji zao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mpaka kukata tamaa na kujikuta naangukia kwenye mikono ya shemeji yangu kikazi

    Kama Mlivyoona Kwenye Kichwa Hapo Juu Nataka kushea Story ya Maisha YANGU Kidogo Kama watu mtapata namna ya Kujifunza au kuburudika sawa Tuu.....ila story Ni ya kweli lakini Nitaichakachua kwa Asilimia 50 ili Kuficha ukweli na Baadhi ya Washiriki wasitambulike ....... KWAHIYO itakuwa Ukweli 50%...
  4. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni brand ya syrup nzuri ya kikohozi kikavu

    Nimepata kikohozi pale mafua yalpoisha. Nisaidieni wakuu.
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mi Kataa Ndoa. Ila kama ikikulazimu Kuoa, Hakikisha shemeji Anajua Kupika. Vingine vinavumilika, ila sio msosi m’baya!

    Kichwa kimejieleza totally. Vingine vinasameheka, vinavumilika, vinasahaulika. Kasoro chakula.
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Shemeji zangu wasukuma acheni hizo bwana yaani mimi mgeni siku ya kwanza tu ndiyo mniandalie ugali wa Dona mgumu na nsasa? Hapana kwakweli

    Yaani mimi nimekuja kusalimia ukweni baada ya nyie shemeji zangu kunichinjia Mbuzi au Ng'ombe ndiyo kwanza mnanikaribisha na ugali wa dona na Nsasa hii ni kweli jamani mbona yule shemeji yenu mwingine akija hapo kwenu mnamchnjia Mbuzi wawili na inakuwa na sherehe kabisa au kwasababu ni msukuma...
  7. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Shemeji yako akikutaka kimapenzi utachukua uamzi gani?

    Toeni ushauri, shemeji yako akikutaka kimapenzi utachukua uamzi gani?
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko hapa kwenye event ndogo ya shemeji yangu na mkewe kutimiza miaka mitano ya ndoa, kuna huyu mdada kila kona anawafata fata kwa nyuma🤔

    Ila maex bwana, yakiisha yameisha, acheni ulozi
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Iringa mnipokee shemeji yenu.

    Tayari nimeshaharibu kwa dada yenu. Mhehe. Sasa mimi na nyie dugu tayari. Hii ni baada ya wamatengo wa songea na waluguru wa Morogoro. Naam, zaeni mkaongezeke.
  10. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Huyu shemeji yangu alijifanya ananikomoa

    Reje kichwa cha haba ri hapo juu. Huyu mke wa binamu yangu alitaka kuniharibia ndoa yangu ila kilicho mkuta haamini. Binafsi kabla sijaoa hakuna nimesha date na wanawake wengi sana walio nijengea uwezo wa kuwamudu wanawake na kujua jinsi gani ya kudili nao. Hivyo katika hizo harakati zote...
  11. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

    Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓 Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live...
  12. Lucha

    JamiiForums Tanzania Tabia ya watangazaji wa Clouds Media kuwasimanga watu wanaotafuta maisha wakiwa wanaishi kwa shemeji

    Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kijana miaka 25-30 kwanini uendelee kukaa kwa shemeji yako? Ati kisigizio ‘unasikilizia ajira’?

    Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako! Ni kweli una elimu Ni kweli mfumo wetu wa Elimu una mjenga msomi kuwa tegemezi wa ajira tu hilo sipingi lakini bado haiindoi...
  14. issac77

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia wa JF, Jana tarehe 13 mimi na shemeji yenu tumefanikiwa kuijaza Dunia kwa mara nyingine

    Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  16. dorge

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na shemeji wawili. Mmoja alikimbia mapema

    Huyu dogo ana 30s nashangaa kwann Hawa watoto wanaishi kama digidigi. Ni wawili hawana kazi mmoja ana 29 na kaakaaake na 33. Wanaishi kwa dadaayao ywaninkwangu. Huwa nampelekeanmoto da da yao na wanasikia. Hikinkizaz Cha kijinga sana. Unaona dadaako anwliwa na unakaa hapohapo. Mmoja...
  17. ankol

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumzoea shemeji yetu

    Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi. Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu? Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo .....". Yaani kwa apiarensi huku...
  18. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Shemeji ananitaka

    Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao. Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake...
  19. Elsa Marie

    JamiiForums Tanzania Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

    Ipo hivi. Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki. Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho. Msaada tafadhali...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
Back
Top Bottom