Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,834
Uliyoipa iko poa tu mbona.. "China is cleaver" ondoa tu "a" kwenye "cleaver"
Mytake: bora china kuliko marekani, marekani ni weziwezi tu.. mfano uwekezaji wao kwetu wa nishati hadi leo unatutesa.. Richmond sjui Dowans.. hasara tupu yani!