Search results

  1. Leslie Mbena

    Nukuu ya msemakweli Chakubanga

    NUKUU YA MSEMAKWELI CHAKUBANGA. Nikiwa kama mbobezi katika fani ya Uongozi, Master of Leadership and Management, Labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria, haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi...
  2. Leslie Mbena

    Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

    YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!? Leo 15:15hrs 14/05/2021 Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
  3. Leslie Mbena

    Je, kuna ubaya kwenda kumjulia hali na kumpa pole Mama Janeth Magufuli?

    JE, KUNA UBAYA KWENDA KUMJULIA HALI NA KUMPA POLE MAMA JANETH MAGUFULI!? Kwanza nilimuona mtoto wa Hayati Rais Magufuli akisema mama yao hajisikii vizuri tangu Mzee alipotangulia. Baadae nikaona habari ya Baba Mdogo kupita Chato akielekea Kigoma na watoa habari walisema amekwenda kumjulia hali...
  4. Leslie Mbena

    Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

    NIMEPATA MTOTO WA KIUME;JE NIMUITE JOHN POMBE MAGUFULI!? Leo 17:15hrs 02/05/2021 Namshukuru Mwenyezi Mungu,Muumba wa mbingu na dunia kwa kunitendea tena,mara zote nilipokuwa kwenye shida nilimuomba Mungu nikikumbuka mema aliyokwishanitendea nae hakuniacha kamwe,sawa sawa na andiko langu la tar...
  5. Leslie Mbena

    Nilikutana na chawa akimponda hayati Rais Magufuli, nikamjibu kama ifuatavyo

    NILIKUTANA NA CHAWA GEGEDU AKIMPONDA HAYATI RAIS MAGUFULI,NIKAMJIBU KAMA IFUATAVYO. Chawa Gegedu: Magufuli kaharibu uchumi na kuhurudisha itachukua miaka saba. Msemakweli: Sasa Magufuli kaharibu vipi uchumi na IMF ambao ni wazungu wakaiingiza Serikali yake kwenye uchumi wa kati!? Chawa...
  6. Leslie Mbena

    Kumbukumbu; Nitaongeza mishahara kabla sijaondoka madarakani-Rais Magufuli

    KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI. Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
  7. Leslie Mbena

    Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

    SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM. Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara...
  8. Leslie Mbena

    Jicho la siasa: Hayati John Pombe Magufuli ndiye aliyerithi mafuriko ya Edward Lowassa. Nani tena kuyarithi mafuriko hayo!?

    JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
  9. Leslie Mbena

    MAGUFULISM: Falsafa ya Magufuli kwenye Siasa, Uchumi N.k

    MAGUFULISM Hii ni aina mpya ya Falsafa iliyoanzishwa katika Karne ya 21 haswa mwaka 2021 kutokana na falsafa za aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli aliyeishi kati ya 1959-2021. Katika Falsafa ya Magufulism tutaangazia mitizamo ya mwanafalsafa huyu katika...
  10. Leslie Mbena

    Wakosoaji wa Falsafa ya Magufulism katika uhusiano wa kimataifa

    WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA. Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
  11. Leslie Mbena

    Mchango wa Dkt. John Pombe Magufuli nchini Tanzania na Bara la Afrika kwa Ujumla

    MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA. Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
  12. Leslie Mbena

    Hayati Magufuli tayari ameandika hadithi yake, si jambo rahisi kuifuta

    HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI TAYARI AMEANDIKA HADITHI YAKE,SI JAMBO RAHISI KUIFUTA. Leo 11:45hrs 11/04/2021 Mzee wetu Mzee Ally Hassan Mwinyi,alisema "Maisha ni hadithi tu"ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri,Hayati John Pombe Magufuli yeye tayari ameshaandika hadithi yake si jambo rahisi kuifuta...
  13. Leslie Mbena

    Dr John Pombe Magufuli, one of the best to ever do it, a true legend

    DR JOHN POMBE MAGUFULI,ONE OF THE BEST TO EVER DO IT,A TRUE LEGEND. Leo 23:15hrs 09/04/2021 Wote wanaomsema vibaya na kupuuza fikra za Rais wa awamu ya tano,Dr John Pombe Magufuli juu ya miradi aliyoanzisha Hayati Rais John Pombe Magufuli hasa wanaccm ni wanasiasa wanafki na wazandiki wenye...
  14. Leslie Mbena

    Dr. Magufuli, one of the best to ever do it, a true legend

    "Wapo watu duniani hata ukiwabeba mgongoni ukawavusha mto,wakifika ng'ambo watasema limgongo lake linanuka, tuwaombee tu"-Rais Magufuli 02/04/2018 #MimiSioniUbayaWaMagufuli.
  15. Leslie Mbena

    Mchango wangu kwa Serikali kufikia lengo la Trilioni mbili kwa mwezi

    MCHANGO WANGU KWA SERIKALI KUFIKIA LENGO LA TRILIONI MBILI KILA MWEZI. Leo 12:15hrs 04/04/2021 Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi...
  16. Leslie Mbena

    Africa has been robbed again

    AFRICA HAS BEEN ROBBED By: Cde TN +263 774 878 860 Greetings to you fellow Zimbabweans and Africans. Like always, let me begin by appreciating the gallant sons and daughters of the soil who laid their lives for this beautiful country and continent. I salute you all. My sincere apology that...
  17. Leslie Mbena

    Dhihaka anazopewa Dkt. Bashiru na wapinzani ni kwasababu ya kazi ya kurudisha majimbo yote CCM

    TUSICHEZE NGOMA YA KIGOGO WALA CHADEMA. Kwa namna yoyote ile tusiingie katika mtego wa dhihaka kwa wanaccm wenzetu,tuamini kila mwanaCCM anastahili kuwa mahali fulani kwa wakati wowote, Leo imempendeza Rais kumteeua CS mwingine haina maana kwamba Daktari Bashiru ana makosa la hasha, Dhihaka...
  18. Leslie Mbena

    Buriani Rais magufuli, till we meet again

    BURIANI RAIS MAGUFULI,TILL WE MEET AGAIN. Leo 18:30hrs 26/03/2021 Yapo maisha baada ya kifo,kuthibitisha hilo,turejee kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo,Death is not a full stop but a comma,there is life after death,Rais Magufuli umeenda kimwili tuu ila kwa kazi ulizofanya katika...
  19. Leslie Mbena

    Malawi President Lazarus Chakwera's speech at the state funeral for President John Magufuli

    Here's the speech by President Lazarus Chakwera at the state funeral for John Magufuli. 166 days ago, President John Pombe Magufuli and I had dinner together at the State Residence in Dar es Salaam, but I did not know that it would be our last supper. The following day, he saw me off the apron...
  20. Leslie Mbena

    Kifo cha Rais Magufuli: Wanyonge na Walalahoi wanajua walichopoteza

    KIFO CHA RAIS MAGUFULI:WANYONGE NA WALALAHOI WANAJUA WALICHOPOTEZA. Leo 12:20hrs 21/03/2021 Uwanja wa Uhuru umejaa pomoni Wananchi wakija kwa shughuli moja tu kuaga Mwili wa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati John Pombe Magufuli, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mh Godwin Gondwe...
Back
Top Bottom