Dhihaka anazopewa Dkt. Bashiru na wapinzani ni kwasababu ya kazi ya kurudisha majimbo yote CCM

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
TUSICHEZE NGOMA YA KIGOGO WALA CHADEMA.

Kwa namna yoyote ile tusiingie katika mtego wa dhihaka kwa wanaccm wenzetu,tuamini kila mwanaCCM anastahili kuwa mahali fulani kwa wakati wowote,

Leo imempendeza Rais kumteeua CS mwingine haina maana kwamba Daktari Bashiru ana makosa la hasha,

Dhihaka anazopewa Daktari Bashiru na wapinzan ni kwasababu ya kazi ya kurudisha majimbo yote CCM,

Tumtie moyo kwa kutambua mchango wake kwa chama chetu cha Mapinduzi, Daktari Bashiru ni binadamu na anastahili heshima yake,CCM kwanza.

Daktari Bashiru ndie Katibu Mkuu aliyetuvusha kurudisha majimbo yote CCM,hii ni historia na itakumbukwa.
 
Hii inaonesha ni namna gani Magu hakushirikiana na Samia kwenye huu uteuzi.
Mwenda zake alikua yeye ni kocha mkuu, kocha wa viungo, kocha wa makipa! Mpaka kamati ya ufundi yeye ndo alikua mtaalamu mwenyewe!

Ukimwambia Mzee kwa jinsi mpira ulivyo beki wa kushoto anatakiwa awe anaoverlap na kurudi kwenye zone yake faster ili tuwe na mashambulizi mengi kwa kupandisha wachezaji wengi mbele Anabisha!

Unamwambia kwa formation ya mpinzani winger hazisaidii tuziue ziingie kati, anakutimua anakupa kesi ya uhujumu uchumi.. Sasa Matokeo ndio haya! CCM Makinikia Wanahisi Mama anapendelea CCM OG pekeyake!
 
Dhihaka anazopewa Daktari Bashiru na wapinzan ni kwasababu ya kazi ya kurudisha majimbo yote CCM

Sio sahihi kusema Dr. Bashiru anapewa dhihaka na wapinzani, dhihaka na kushushuliwa anakopata Dr. Bashiru ni kutoka kwa wanaccm wenzie ambao hawakupenda jinsi alivyokuwa anakiendesha chama chenu!!! Kama mtakumbuka, Dr. Bashiru ndiye aliefanya audit ya mali zote za ccm nchi nzima na kugundua ufisadi uliokithiri. Kuumbua huku kwa ufisadi ndani ya ccm ndio kulikotengeneza maadui wengi ambao ndio waliokuwa wanazifaidi mali za ccm; hawakumpenda hata kufikia kulazimisha aondolewe kwenye vikao hata kabla ya kukabidhi ofisi!!!

Matatizo yanayompata Dr. Bashiru ni matunda ya ufisadi unaoleta POWER STRUGGLE ndani ya ccm; hivyo msisingizie wale walio nye ya chama chenu kwa matatizo yenu.
 
Mbona hatuna shida nae
Unajistukia tu
IMG-20210331-WA0087.jpg


Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Usiwe na haraka ya kumtetea Dr. Bashiru kama ana makosa itafahamika tu ni mapema sana kuanza kuimba mapambio. Naona bado unachekelea kweli kurejea zama za Chama kimoja, hongera.
 
Umenena vyema! Kuchukua na siyo kushinda
Haya mambo na mgawanyiko tunaoona sasahivi moja ya vyanzo ndio hicho kitendo cha kujitwalia majimbo yote!

Mbaya zaidi baba wa watu hakua na kifua, yeye anasema tu;

"siwezi kumlipa mkurugenzi mshahara, nimpe gari, nimpe nyumba halafu akatangaza mpinzani kashinda"

"Askari wanajua nini cha kufanya ikitokea mmoja akasaliti wakiwa vitani"

"Wengi wengi mnajua hizo nafasi(ubunge) mlio nao hamkuupata bure bure"
 
Back
Top Bottom