buriani

 1. Companero

  Buriani

  Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa. Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana...
 2. Mzee Mwanakijiji

  Virusi vya Corona: Buriani Fr. Angelico - Mmisionari Muitalia Tanzania kwa Miaka 47 Amefariki kwa Corona

  Na. M. M. Mwanakijiji Mungu ni Mungu wa wote. Hana upendeleo na hajali sura, hali, au mahali pa mtu. Wema wake na uaminifu wake ni wa milele. Niandikapo hili nimejawa na huzuni kwani siku chache zilizopita nimepokea taarifa ya kifo cha Padre Pierluigi Dell’Amico kilichotokea huko Trento, Italy...
 3. Zitto

  Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

  Buriani Mzee Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi Mwenye Mapito Mengi Kwenye Biashara “Zitto mnahitaji mgombea Urais anayeijua sekta binafsi vizuri asaidie kuijenga Tanzania, ongea na Ali Mufuruki agombee Urais” yalikuwa maneno kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu, mwaka Jana katikati ya sakata la zao la...
 4. Zitto

  Zitto Kabwe: Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza

  Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza Zitto Kabwe James Kabalo Mapalala ametangulia mbele ya haki. Mwenyezi Mungu ndiye anajua amali zake duniani na yeye ndiye atampima kwa matendo yake. Lakini Mzee huyu alitimiza wajibu wake kwa sisi wanadamu tunaoishi Tanzania. Mimi sikuwa...
 5. figganigga

  Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

  ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
Top Bottom