Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

Leslie Mbena

Verified Member
Nov 24, 2019
207
1,000
NIMEPATA MTOTO WA KIUME;JE NIMUITE JOHN POMBE MAGUFULI!?

Leo 17:15hrs 02/05/2021

Namshukuru Mwenyezi Mungu,Muumba wa mbingu na dunia kwa kunitendea tena,mara zote nilipokuwa kwenye shida nilimuomba Mungu nikikumbuka mema aliyokwishanitendea nae hakuniacha kamwe,sawa sawa na andiko langu la tar 20/01/2021 lenye kichwa cha habari Ushuhuda wangu wa Mke Wangu kupona Covid 19 kwa kutumia medium ya New Annointing water,andiko hili ni hitimisho la Ushuhuda na mwanzo wa Ushuhuda mpya kwa wale wote waliosubiri na waliokuwa na doubt je kweli Mke Wangu alipona sawa sawa na je angeweza kujifungua salama,kwa maana wakati Mke Wangu akipambania maisha yake kwenye oxygen,

Madaktari waliniambia Jambo moja ,nichague Mke au mtoto na wao wakanipa ushauri wa kitabibu ya kwamba option ya kwanza wao wangependekeza tumuokoe Mama,nilitoa machozi nikakumbuka Watumishi wote wa Mungu na ndipo nilipokumbuka New Annointing water ya T.b Joshua na kwa haraka niliitafuta kwa Emmanuel tv partners na kuja kuispray kwa Mke Wangu pamoja na sala za you tube ambazo Tb Joshua alikuwa akiwaombea wenye Covid 19 kule Honduras,Kwa hakika Mke Wangu aliamka upumuaji ukarudi 97 toka 70 na mtoto ambae alikuwa hachezi tumboni alianza kucheza kitu kilichowashangaza madaktari na kusema alipumzika baada ya kuchoka wakati Mama yake akipambania kupata hewa wakati akiwa kwenye oxygen,yote kwa yote namshukuru Bwana Yesu maana ni yeye aliyenitendea.

Tukiwa hospital ya Bochi pale Mbezi,Mke Wangu akipambania Uhai wake kwenye oxygen,nilisimama dirishani nikaona msafara wa Rais Magufuli ukipita akielekea kuzindua stendi ya Magufuli pale Mbezi Louis,nilitamani niwepo mahali pale kwenye uzinduzi lakini nilikuwa na mgonjwa hospital,manesi wawili waliingia wakasema huyu mtoto akizaliwa atakuwa Magufuli kwa jinsi alivyopambana katika kipindi kigumu cha changamoto ya upumuaji ya Mama yake,kila nesi aliyeingia aliniita Baba Magufuli,nami nilifurahi kwani kwangu Rais Magufuli alikuwa Pan Africanist aliyebeba tochi baada ya kifo cha Muammar Ghadaf,mwezi mmoja baadae Rais Magufuli alipumzika milele,kwa hakika nililia sana,Pumzika kwa Amani shujaa wangu,na sasa ni mwezi mmoja yule mtoto aliyeitwa Magufuli kabla ya kuzaliwa,leo amezaliwa.

Nimepitia majina mengi ya Pan Africanist kuanzia Dr Nnamdi Azikiwe,Patrice Lumumba,Martin Luther King Jr,Jesse Jackson, Toussaint Louverture, Jean-Jacques Dessalines, Haile Selassie, Julius Nyerere, Ahmed Sékou Touré, Kwame Nkrumah, King Sobhuza II, Robert Mugabe, Thomas Sankara, Dr. John Pombe Magufuli,Muammar Gaddafi,Joseph Robert Love, Marcus Garvey,Malcolm X,W. E. B. Du Bois, Anténor Firmin,Nelson Mandela,Henry Sylvester Williams, Edward Mondlane,Kenneth Kaunda,Abed Karume,Ernesto Guevara,Samora Machel,Water Ulyate Sisulu,Oliver Tambo,Albert Luthuli,Sam Nujoma na wengine wengi bila kumsahau Nelson Mandela.

Wote niliowataja ni wapigania Uhuru na haki ya Mwafrika popote alipokuwa,na ushawishi wa Pan Africanist haukuwa Nigeria,Ghana au Tanzania tu,bali Afrika Nzima.Wakati utumwa ukikomeshwa Marekani mwaka 1865 watumwa kutoka Afrika waliosalia hai walikuwa chini ya 4,000,000 ambapo uzao wao ulituletea akina Martin Luther King,Malcom x Watumwa kutoka Afrika waliobaki hai katika visiwa vya Karibbean na West Indies walikuwa 1,370,000 ambao uzao wao ulituletea Pan Africanist kama George Padmore na Marcus Garvey na watumwa waliobaki katika makoloni ya muingereza huku Afrika walikuwa ni 700,000

Uzao wa Watumwa wa Afrika ukatuletea Nnamdi Azikiwe kutoka Biafra nchini Nigeria,Kwame Nkrumah,Julius Nyerere,Jomo Kenyatta,kukomeshwa kwa biashara ya watumwa na utumwa karne ya 19 kulitokana na maendeleo ya mapinduzi ya kiviwanda kwa nchi za Ulaya ambapo uzalishaji mali ulianza kutegemea nyenzo za mashine badala ya nguvu kazi ya watumwa.Filosofia ya “Pan-Africanism” kama ilivyobuniwa na Daktari William Du Bois, ilikuwa juu ya “nguvu ya kisiasa na heshima ya mtu mweusi ulimwenguni kote”. Kwa Du Bois na Marcus Garvey ambaye alikuja na falsafa nyingine "Garveyism" ikimaanisha Afrika kwa Waafrika,

Moto wao ulikuwa ni heshima kwa mtu mweusi “heshima ya watu wote wenye asili ya Kiafrika”.Kwa masaibu waliyoonja chini ya mfumo wa utumwa nchini Marekani,wenye kutweza na kudhalilisha utu wa binadamu na umiliki wa binadamu kama mtumwa ilikera zaidi pale utumwa ulipojikita kwa mtu mweusi tu na mwenye kumiliki mtumwa akiwa ni mtu mweupe,sasa Pan Africanist wakiongozwa na Daktari William Du Bois na kufadhiliwa na Marcus Garvey aliyekuwa tajiri mweusi mwenye kumiliki Kampuni na Kampuni ya Meli ambaye ndiye aliyekuwa mtoa ajira nyingi kwa Waafrika nchini Marekani huku gazeti lake la Marcus Garvey and Universal Negro Improvement Association Papers,

Volume I-VII likitoa mwelekeo na namna ya Watumwa wenye asili ya kiafrika kurudi nyumbani Afrika,The long-awaited African Volumes Edition VIII,IX na X ,liliafikiana na jamii yote watumwa weusi na kufikia uamuzi kwamba dharau hii ingekoma kama Afrika ingekuwa huru,Marcus Garvey aliazimia kutoa Meli zake kurudisha Watumwa wote nyumbani Afrika,na tulishuhudia wakiletwa hadi Siera Leone,Liberia katika Majiji yalitopewa majina ya Monrovia na Free Town ikimaanisha sasa tupo huru katika miji huru ya Afrika.

New Africa Hotel ndiyo hotel yenye historia ya kukutanisha wanamapinduzi wengi,Pan Africanist wa bara la Afrika kwa pamoja,Pale juu New Africa Hotel kulikuwa na baa,watu wakinywa kahawa na vinywaji vingine,Hapo walikusanyika wanaharakati za kimapambano ya ukombozi wa Afrika kutoka kona mbalimbali,Mahali hapa ilipangwa mikakati,kwenye meza moja unaweza kumwona Edward Mondlane wa Frelimo kutoka Msumbiji akiongea na Kenneth Kaunda wa Unip,kutoka Zambia,

Meza nyingine utawaona Pan Africanist,Abeid Karume akiongea na Chisiza wa Malawi,Patrice Lumumba kutoka Kongo Kinshasa akiongea na Ernesto Guevara,utamuona Samora Machel akiongea na Water Ulyate Sisulu kutoka Afrika ya Kusini,Oliver Tambo na Albert Luthuli wakiongea na Neto,Ndwaitah na Sam "Mwakangale" Nujoma ambaye alikuja kuwa Rais wa kwanza wa Namibia,They joined together demonstrating that Pan-Africanism is not just about rhetoric for solidarity or an ambiguous theoretical ambition but rather real belief in Africa’s quest for full liberation, durable peace and prosperity, backed by action.

Nafahamu yupo Rais wa Malawi,Lazarus Chakwera ambae tayari ameichukua torch ya Pan Africanist kuiangaza Afrika, najua yupo Mh Rais Mama Samia ambae amesoma Chuo Cha Magufuli,najua yupo Daktari Philip Mpango ambae amehitimu Chuo Cha Magufuli,Najua yupo Mh Kassim Majaliwa Majaliwa ambae kwa hakika anaweza kubeba tochi ya Pan Africanism toka kwa Hayati Rais John Pombe Magufuli,lakini napenda mwanangu huyu aliyeitwa Magufuli kabla hajazaliwa wakati Rais Magufuli akiwa mzima wa afya nae aje kuwa Pan Africanist na kubeba tochi ya Pan Africanism,

Rais Magufuli aliongea Wilayani Chato,Mkoani Geita lakini wakajibu Wazungu katika television za BBC na CNN,Rais John Pombe Magufuli aliwaambia inakuwaje watuletee chanjo ambayo ipo kwenye majaribio wakati wameshindwa kutengeneza chanjo ya Ukimwi toka mwaka 1980,wazungu walikubaliana na hili na kulijibu Namshukuru Mungu kwa maisha ya Rais John Pombe Magufuli katika ardhi ya Tanzania,najua ungeweza kumuweka John Magufuli katika ardhi ya Ghana lakini ulimleta Tanzania, ahsante Bwana Yesu.

Naomba Nimalizie kwa maneno ya Rais wa Afrika kusini,wakati wa msiba,In President Magufuli, we’ve lost a true pan-Africanist. A president who was unapologetic about being African…

“He was a true pan-Africanist who believed that the culture and the tradition of our forebearers should be remembered and taught. But more importantly, that we should derive pride from our languages, our own African languages,Magufuli was often at loggerheads with European states and global investors over their interests in Tanzania" says Ramaphosa

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,076
2,000

Wewe unatafuta uDc na haupati. Shauriana na mkeo mkikubaliana sio matangazo .
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,617
2,000
Ndio maana kuna wakati sijutii kutokufika chuo ( Nathamini sana na naelewa umuhimu wa shule). Lakini kuna watu wachache wanadhalilisha sana tasnia nzima ya elimu.

Sasa huyu ni mtu anaejinasib amepiga kisomo kiwango cha Masters...unakuja kuuliza mambo ya kumpa jina mtoto wako jukwaani?

Ntaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa Rais wetu Nyani Ngabu
 
malinyi

Senior Member
Mar 17, 2017
186
250

Psychologically jamaa ana Kila dalili ya kuwa na homoni nyingi za jinsia ile Kuna Kila dalili jamaa ni type ya kina Juma Lokole na James delicious
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,134
2,000
Ndio maana kuna wakati sijutii kutokufika chuo ( Nathamini sana na naelewa umuhimu wa shule). Lakini kuna watu wachache wanadhalilisha sana tasnia nzima ya elimu.

Sasa huyu ni mtu anaejinasib amepiga kisomo kiwango cha Masters...unakuja kuuliza mambo ya kumpa jina mtoto wako jukwaani?

Ntaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa Rais wetu Nyani Ngabu
Too funny 😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom