Search results

  1. Unique Flower

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF nikwamba mambo yamenizidi asanteni na kwaherini. Niwatakie wakati mwema. N:B Maisha ya ndoa mtu...
  2. Unique Flower

    Naombeni mwaliko wa kesho

    Naombeni mwaliko kwenye sherehee ya IDDI . Unique Flower .
  3. Unique Flower

    Msaada ndio unachukuliwa riziki zako

    WAtu wengi wanajua waganga wanasaidia . Ila waganga hawasaidii waganga wanachukua mazuri yako anampa mteja wake mwaminifu halafu wewe anakusaidia some how unaona afadhali ila ukija jua kachukua nini au umeloose nini? Unazimia . Saivi maisha ya watu wengi yamezorota kisa kwenda kwa waganga cha...
  4. Unique Flower

    Nimeshangaa sana hili sana

    Humu nimesoma post nyingi za wanaume wanatafuta wanawake wakuishi nao sasa vigezo vinafurahisha. 1. Eti awe na chuchu zimesimama . Sasa mnawazalisha watoto wadogo hadi tigo mnawaomba sasa mnadhani sasa nani anamaziwa kama hayo . Mababa wengine wanawafukunyua watoto wawatu hadi maziwa yanakuwa...
  5. Unique Flower

    Xmass mlikula wenyewe haya pasaka njema

    PASAKA NJEMA TO ALL JF MEMBERS Mie naenda KFC kushangaa watu na hela zao .
  6. Unique Flower

    Kwanini wanaume wako hivi?

    Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu. Why mpo hivi?
  7. Unique Flower

    Humu hata wanaume ni wapweke

    Humu jf wanaume nao ni wapweke kuna makundi mengi ya wanaume wapweke. 1. Wanandoa Humu wengi wanaume waliooa ni wapweke , na ndoa za humu asilimia kubwa ni changamoto , so wao wanaishi kiupweke na sonona sasa wakifanikisha kupata mtu au watu wanampiga nakitu kizito wanakuja kulia humu ndani...
  8. Unique Flower

    Utakubali kulala na rafiki wa mumeo?

    Yaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea? Mmefulia mnataka mtoke kimaisha sasa mumeo kaona ili mtokane na aibu hii ya umaskini...
  9. Unique Flower

    Eti hii si shida kwa maisha ya kila siku?

    Mwanaume ni tallest na mwanamke ni shortest kwa hali ya kawaida hivi wataishi kwa furaha au watu watawashangaa kila daily? Pimbi na Zena .🤣🤣🤣🤣 nipo serious . Unakuta umefall in love na kitu kirefu nisaidieni kimawazo siitaji mzahaa nataka kupata jibu ni muhimu kwenu mkiwa serious.
  10. Unique Flower

    Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

    JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu. Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho. Sina haja yakukutaja...
  11. Unique Flower

    Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

    Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa. Sina kachanga sina presha ni nini? Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
  12. Unique Flower

    Kwa wanaume /wanaume

    Kwa wanaume na wanawake, Mnawachukuliaje wanawake na wanaume wafupi?? Maana humu comments nyingi . Mnawasema vibaya kwani wanashida gani?? Tuambieni tujue
  13. Unique Flower

    WanaJF wa humu wengi ni wabaguzi

    Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua . Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie...
  14. Unique Flower

    Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴😪

    Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu. Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa . Aisee.
  15. Unique Flower

    Hii ni defication yenu

    Yawatu wa jf wanaoninyanyasa na wenye masimango. https://youtu.be/Iw4t70zCf7s?si=w3y67nGwuWrbpa0q
  16. Unique Flower

    Msaada wa kimapenzi tafadhali

    Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
  17. Unique Flower

    Happy Valentine's Day my babe

    Happy Valentine my babe, Sweety 🤣😍😘 napenda jinsi ulivyo,ngoja nishuke kikwetu. I love the way your. Your all to me and I never knew that you love me. So much. I love u too. I wish your here hug me and kiss me. I hope one day you will be here to stay. I wll always love you. Happy Valentine...
  18. Unique Flower

    Nimtazamo tu

    Nimekaa nimewaza jambo fulani , Hivi kila mahali kuna manabii. According to the bible kuna watu badhii walikuwa manabii. Ila saivi kila kona ya nchi manabii wapo sasa najiuliza kila mtu ameagizwa tanzania au africa kuwaokoa kilichopotea??
  19. Unique Flower

    Nauza vitu vifuatavyo

    Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover. Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942 Duka lipo Arusha mjini.
Back
Top Bottom