Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Yaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo kakuletea?
Mmefulia mnataka mtoke kimaisha sasa mumeo kaona ili mtokane na aibu hii ya umaskini wewe mke ulale na rafiki yake ili maisha yasonge muwe na maendeleo maana alimkubali mkeo siku mingi ukagoma.
Na sasa unaona bora ukubali maisha yasongee. 👆👆👆👆👆 ndio namaanisha hapo juu.