Search results

  1. EL ELYON

    Jamaa yangu kaamua kuondoka rasmi nyumbani kwake

    Wakuu huyu ni jamaa yangu sana alikuwa na mkewe bt kutokana na matukio kadhaa ambayo yametokea pale nyumbani na mkewe pamoja na Mdogo wake mkewe jamaa kaamua kujitoa hapo na kumuachia mkewe Kila kitu. Angalia hzo sms za kuaga.
  2. EL ELYON

    Ametokea kumpenda mdogo wake na mkewe, anauliza inawezekana kuoa wote?

    Wakuu habari mnaendeleaje... Kuna jamaa yangu anaishi na mke lakini ametokea kumpenda Mdogo wake na mkewe na wamekubaliana Sasa anauliza je inawezekana kuoa mtu na Mdogo wake na Kila mmoja akawa na mji wake? Fungukeni wajomba....
  3. EL ELYON

    Amenisemea kwao sioni haja ya kuendelea naye

    Wakuu muhali Gani [emoji848] Ninaishi na mdada wa watu Sasa ni mwaka na robo Kuna changamoto ilijitokeza Kwa kweli ni ya kweli inanihusu Mimi na yeye Sasa ajabu ni kwamba alikuwa akinichunguza halafu anawaambia wa kwao huko inshu yenyewe ni ya mchepuko. Kumbe Mimi Sina hili Wala lile huko kwao...
  4. EL ELYON

    Kazi ya kuchoma chips na mishikaki Katoro

    Wakuu nahitaji kijana au binti mzoefu anayejua kuchoma chips natoa vifaa vyote na mtaji wa viazi, mafuta nk. Awe katoro makazi ajitegemee. 0676628429
  5. EL ELYON

    Biashara ya chips Katoro town

    Nahitaji mtu atakayeweza kuchoma chips Katoro nampa vifaa vyote na mtaji wa kuanzia. Awe mzoefu wa kazi hiyo 0676628429
  6. EL ELYON

    Mchepuko wa dogo simuelewi

    Dogo ana mchepuko wake amenizoea mpaka mtaani kwao wanajua mi ndiyo namvua chupi. Maana asiponiona anamnunia mpaka bwana wake ambae ni mdogo wangu. Shida imekuja nilimdanganya na ameamini kwamba mpango wangu ni kuoa wake watatu. Kuna siku ukaropoka eti nikitaka ongeza mke ye yupo tu, mi...
  7. EL ELYON

    Toka amejifungua, tukisex anaumia

    Wakuu hamjambo? Aisee nina mke wangu wakati tumeanza mahusiano mpaka namuoa tulikuwa tunapiga game matata sana mpaka alikuwa anaomba kabisa mpaka anapata ujauzito ndo acha kbs kipindi cha ujauzto game zlikuwa znapgwa hatari mpk miezi 9 ujauzto game znapgwa tu na analowana vzuri. Sasa toka...
  8. EL ELYON

    Msaada wa kupata ramani ya hall dogo

    Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani. Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani hiyo iwe inakubalika...
  9. EL ELYON

    Nipo njiapanda sana

    Hii Ni story ya kweli ya jamaa yangu na jirani yangu huku nilipo. Anasema mwaka 2019 alipewa taarifa na ndugu yake kwamba Kuna mradi unaanza wakati wowote na atalipwa pesa nzuri Sana. Jamaa anasema alikuwa mkoa tofauti na huyo ndugu yake akaambiwa aandae vitu vifuatavyo Kama sehemu ya kazi...
  10. EL ELYON

    Msaada jinsi ya kusajili kampuni

    WAKUU mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jamani nipo kwenye mchakato wa kusajiri kampuni shida niliyokutana nayo brela online kila nikiandika jina la kampuni inaniambia nimekosea jina la kampuni sijajua nakosea nini maana jina ni jipya na wala halifanani na jina lingine naombeni msaada wenu...
  11. EL ELYON

    Mke wangu ameniacha njiapanda

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu. Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa. Sasa...
  12. EL ELYON

    Sarafu yenye tundu katikati ya mwaka 1918

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Nimeokota sarafu yenye tundu KATIKATI imeandikwa EAST AFRICA & UGANDA PROTECTORATES ( ONE CENT ) SHIDA YANGU JE HII KITU INA THAMANI YOYOTE KWASASA MAANA NILIWAHI SIKIA WATU WANASAKA PESA ZA NAMNA HII. 0629 945 110.
  13. EL ELYON

    Nimeokota sarafu yenye tundu katikati ya 1918

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Nimeokota sarafu yenye tundu KATIKATI imeandikwa EAST AFRICA & UGANDA PROTECTORATES ( ONE CENT ) SHIDA YANGU JE HII KITU INA THAMANI YOYOTE KWASASA MAANA NILIWAHI SIKIA WATU WANASAKA PESA ZA NAMNA HII. 0629 945 110.
  14. EL ELYON

    SITTA ELECTRONICS

    Pata huduma hapa
  15. EL ELYON

    Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Wakati nipo chuo kuna watu walikuwa wanasumbua sana na subwoofer zao mpaka wanawake nikaona huu ujinga sasa kila mtu subwoofer la kichina nikapata wazo la kutengeneza mziki mkubwa sana wa kuunga unga nikanunua vitu hivi. Car audio crossover and equalizer Car music booster Spika 2 za bass (...
  16. EL ELYON

    Naomba maoni yenu kuhusu ajira kwa vijana nchini

    Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk. Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
  17. EL ELYON

    Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana..... Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari. Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na...
  18. EL ELYON

    Wanawake, kwanini huwa mnapambana kumtawala mwanaume kisha kumtenganisha na ndugu zake na rafiki zake?

    Nipo mkoa Fulani kanda ya ziwa kikazi nilihamishiwa huku kwa bahati nzuri huku nilimkuta ndugu yangu mmoja tunaelewana Sana maana tumekua wote enzi hizo. Sa kwa vile mi bado mgeni kidogo na ni wale introvert najikuta nipo bored Sana na huu mji mida ya jioni huwa napenda kumcheck ndugu yangu na...
  19. EL ELYON

    Mchepuko wa mdogo wangu amenielewa

    Wakuu hamjambo aisee. Mmefanikiwa na kubarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni. Moja Kwa moja naanza, nilihamia kikazi mkoa Fulani kanda ya ziwa huku bahati nzuri huku yupo bwana MDOGO amekuwepo huku miaka MINGI na familia yake SA siku moja tupo kwenye matembezi tukakutana na kadada Fulani hivi...
  20. EL ELYON

    Mama mwenye duka

    WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni. Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta mdada MMOJA hivi white ana mwili Ila si WA ubonge maana NI mwepesi. Anaonekana ana pesa maana...
Back
Top Bottom