Jamaa yangu kaamua kuondoka rasmi nyumbani kwake

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Wakuu huyu ni jamaa yangu sana alikuwa na mkewe bt kutokana na matukio kadhaa ambayo yametokea pale nyumbani na mkewe pamoja na Mdogo wake mkewe jamaa kaamua kujitoa hapo na kumuachia mkewe Kila kitu.

Angalia hzo sms za kuaga.

Screenshot_20230920-182339.jpg
 
Matatizo kwenye nyumba nyingi ukizitazama kwa kina utagundua kuwa wanaume wengi kwa kujua au kutokujua ni kuwa wameuamua kuukimbia uanamume wao kwa kuyaacha mambo waliyopaswa kuyafanya wao na kuwaachia wanawake.......,...

Story ya mleta mada(kama ni kweli) ni mfano ya aina hiyo ya hao wanaume
 
Wakuu huyu ni jamaa yangu sana alikuwa na mkewe bt kutokana na matukio kadhaa ambayo yametokea pale nyumbani na mkewe pamoja na Mdogo wake mkewe jamaa kaamua kujitoa hapo na kumuachia mkewe Kila kitu.

Angalia hzo sms za kuagawanaume
Wanaume wa kweli huwa hatuandiki gazeti namna hiyo, Huwa maneno machache vitendo kwa wingi.

Pole yake.
 
Matatizo kwenye nyumba nyingi ukizitazama kwa kina utagundua kuwa wanaume wengi kwa kujua au kutokujua ni kuwa wameuamua kuukimbia uanamume wao kwa kuyaacha mambo waliyopaswa kuyafanya wao na kuwaachia wanawake.......,...

Story ya mleta mada(kama ni kweli) ni mfano ya aina hiyo ya hao wanaume
Wewe unaanzaje kufuatilia mahusiano ya kimapenzi ya ndugu wa mkeo na kuyawekea mkazo huo mshipa unautoa wapi Mwanaume? Alafu Mwanaume haongei sana
 
Back
Top Bottom