shemeji yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mamamzungu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

    Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi...
  2. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu kanogewa kukaa kwangu. Kamaliza chuo 2020 lakini haondoki, nifanyeje?

    Shemeji yangu sasa kanogewa kwangu, amemaliza chuo 2020, bado anasema anasikilizia mchongo. Shemeji Anashindia TV, kupiga stori na mdada wa kazi na vijiweni Namuambia ajifunze ufundi anasema yeye anasema muda wake maalumu utafika
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko hapa kwenye event ndogo ya shemeji yangu na mkewe kutimiza miaka mitano ya ndoa, kuna huyu mdada kila kona anawafata fata kwa nyuma🤔

    Ila maex bwana, yakiisha yameisha, acheni ulozi
  4. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Huyu shemeji yangu alijifanya ananikomoa

    Reje kichwa cha haba ri hapo juu. Huyu mke wa binamu yangu alitaka kuniharibia ndoa yangu ila kilicho mkuta haamini. Binafsi kabla sijaoa hakuna nimesha date na wanawake wengi sana walio nijengea uwezo wa kuwamudu wanawake na kujua jinsi gani ya kudili nao. Hivyo katika hizo harakati zote...
  5. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

    Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓 Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Dada Zetu/Mashemeji: Mnaachika kwasababu ya Wana/Washkaji wa Mabwana zenu

    Mabinti, Madada na Mishangazi... Sikilizeni Kidogo Siku hizi mtu akikutambulisha kwa washikaji wake, usijidanganye kwamba kila mmoja atakushangilia. Hasa ukikosa kisura cha kuvutia, macho yao ni kama CCTV — wanakuchunguza juu hadi chini, kisha maneno yao nyuma ya pazia ni ya kashfa tupu. Juzi...
  7. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja. Miaka miwili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

    Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi. Kaka yangu anamke...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu ni mchafu sana. Jana nilimtembelea akanialika chakula nikatapika mbele ya familia

    Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu. Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za...
  10. The Mafia

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu na house girl walivyoua wanangu na mume wangu

    Wanangu hawakuwa boarding school. Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

    Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda. Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa...
  12. On Duty

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu wa kike anakula sana mkaa

    Poleni na mihangaiko ndugu zanguni. Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa? Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa? Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana...
  13. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

    Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi. Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto. Maana tulikutana kwenye ishu za chuo ambapo tulipanga nyumba Moja, hivyo mademu zetu wakawa marafiki mpaka Leo...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Dada kupatana na mume wake mahusiano na shemeji yangu yanaanza kuyumba, amesahau tulikotoka

    Waswahili walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime" nadhani hapa pia walikuwa wanamaanisha hao wagomvi wanaweza hata kutumia jembe kukatana wakati wa ugomvi. Kwahiyo ni bora wewe ukalime. Wagombane tu na vitu asilia. Shida sasa sisi tunaoishi mjini. Unatafuta jembe ndani hupati. Hata...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpeleka Shemeji yangu Mahakamani!

    NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI Anaandika, Robert Heriel. Haki lazima ikatendeke! Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
  17. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana..... Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari. Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na...
  18. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Shemeji yang nnaemzungumzia ndie yule niliwai mzungumzia siku moja humu jf kwenye Huu Uzi.[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873 Ni kwamba wiki mbili zilizopita alikuja kupata msiba wa mama ake mzazi uko mkoani. Sasa juzi nikiwa kwa Mchepuko Wangu mama J Akanambia...
  19. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

    Wajuzi wa mambo haya, Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma. Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama, Mamangu ni mwana maombi sana na maombi yake juu yetu ni kama umetufunika na...
  20. mbenda said

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuuliza mume wa mchepuko wangu alitumia mbinu gani kufanya mke wake atulie ili nami mke wangu atulie

    Habari wa JF natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa . Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani, sasa siku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza simu. Nilipofika pale wakati tuaendelea na mazungumzo akaja mdada fulani hivi yule mdada alikuwa...
Back
Top Bottom