Amenisemea kwao sioni haja ya kuendelea naye

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,566
1,883
Wakuu muhali Gani

Ninaishi na mdada wa watu Sasa ni mwaka na robo Kuna changamoto ilijitokeza Kwa kweli ni ya kweli inanihusu Mimi na yeye Sasa ajabu ni kwamba alikuwa akinichunguza halafu anawaambia wa kwao huko inshu yenyewe ni ya mchepuko.
Kumbe Mimi Sina hili Wala lile huko kwao wameshwasha moto wanataka mtoto wao arudi nyumbani siku nimestuka nikaamua kuwapigia nilimpgia mama mkwe weeee niliwashiwa moto mkali sn na maneno mazito ya kuambiwa kama mtoto wao harudishwi basi wao wanaanza taratbu za kisheria mpk nimrudshe.
Nilipoyaskia hayo kweli nilirudi nyumbani nikakaa na mtoto wao kumwambia mambo niliyoambiwa na mama yake na anatakiwa arudi kwao nikamwambia ndani ya wiki hii tukae chini tugawane Kila tulichopata tukiwa pamoja na Kisha arudi kwao eeeh ACHA mtu aangue kilio kwamba hawezi kuishi mbali na mm na Wala hawezi kuishi bila Mimi
Mi nikamwambia pamoja na kwamba nilikosea lakin ulifanya kosa kubwa sana haya mambo kuwa unayashitaki kwenu sa kwenu nimeshachafuka naishije na mtoto wa watu wakati kwao hawanitaki Tena so lazma tufike mwisho na urudi kwenu basi.
Sasa wakuu hebu niambieni hapo maamuzi yangu ni sahihi au
 
Sasa utabadilika kuacha ngono zembe na michepuko ? Vipi yeye akiamua kulipa kisasi na ukajua ?
 
Kuna familia za hovyo.

Mimi hata nikosee vipi, mama mkwe kamwe hawezi kunipigia simu. Atauliza kwa adabu kisha kama kuna ambayo anadhani kuna haja ya kuzungumza basi atafikisha swala hilo kwa mashemeji.

Wale vijana ndiyo tuongee tumalizane. Wao watarejesha ripoti kwa mama yao. Hii ni ili kwa namna yeyote tusitoleane maneno machafu na wakwe.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom