Ametokea kumpenda mdogo wake na mkewe, anauliza inawezekana kuoa wote?

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Wakuu habari mnaendeleaje...

Kuna jamaa yangu anaishi na mke lakini ametokea kumpenda Mdogo wake na mkewe na wamekubaliana Sasa anauliza je inawezekana kuoa mtu na Mdogo wake na Kila mmoja akawa na mji wake?

Fungukeni wajomba....
 
Wakuu habari mnaendeleaje...

Kuna jamaa yangu anaishi na mke lakin ametokea kumpenda Mdogo wake na mkewe na wamekubaliana Sasa anauliza je inawezekana kuoa mtu na Mdogo wake na Kila mmoja akawa na mji wake?

Fungukeni wajomba....
Hiyo ipo, mpaka kwenye biblia. Kuna yule jombaa alienda kupiga kazi kwa babamkwe ili aoe mdogo mtu. Baada ya kupiga kazi miaka 7, akaambiwa huwezi oa mdogo wakati mkubwa hajaolewa. Hivyo akaoa mkubwa kisha akafanya kazi miaka 7 mingine ndo akaja kumuoa na mdogo mtu.
 
Yakobo (Israel)
 
Inawezekana kumbe
 
Kama kenge unakula mayai yote ,baadae unakuja kumtamani mama mkwe nae unataka kumuoa.
 
Back
Top Bottom