Toka amejifungua, tukisex anaumia

Toka amejifungua, tukisex anaumia

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,116
Wakuu hamjambo? Aisee nina mke wangu wakati tumeanza mahusiano mpaka namuoa tulikuwa tunapiga game matata sana mpaka alikuwa anaomba kabisa mpaka anapata ujauzito ndo acha kbs kipindi cha ujauzto game zlikuwa znapgwa hatari mpk miezi 9 ujauzto game znapgwa tu na analowana vzuri.

Sasa toka amejifungua huu ni mwezi wa 4 sasa muda kusex hata tufanyaje halowani anakuwa mkavu tu nadhan mnajua mwanamke akiwa mkavu ukingza anachubuka, nashindwa kuelewa imekuaje amekuwa hivi kwasasa mpk nawaza kubeba mchepuko tu maana dini hairuhusu kuoa mke wa pili.

NB: JE WAKUU KUNA AMBAYE AMEWAHI KUTANA NA HILI NA ALIFANYAJE?
 
Muandae vizuri, au tumia lubricant kama KY.

Hizo ni issue za homoni.
 
Hajapona kisaikolojia tangu ajifungue hivyo hapati hisia
 
jamani utafute mchepuko kwa ajili ya hiyo changamoto aliyoipata? Mi nadhani mpe mda atakua sawa. Hali kama hiyo iliwahi kunipata nilivyotoka kujifungua, ila iliisha tu yenyewe hata sijui ilichukua mda gani ila nikajikuta tu niko sawa
 
paka mate au tumia mafuta, vaseline au KY
hapana hapana hayo mafuta huko si mhala pake halafu yakienda huko yakaharibu ulinz wa huko k ianze kutema nije tena humu kutukana wadada wananuka papuchi au siyo. Hata mate ni hatari sana.
 
Wakuu hamjambo? Aisee nina mke wangu wakati tumeanza mahusiano mpaka namuoa tulikuwa tunapiga game matata sana mpaka alikuwa anaomba kabisa mpaka anapata ujauzito ndo acha kbs kipindi cha ujauzto game zlikuwa znapgwa hatari mpk miezi 9 ujauzto game znapgwa tu na analowana vzuri.

Sasa toka amejifungua huu ni mwezi wa 4 sasa muda kusex hata tufanyaje halowani anakuwa mkavu tu nadhan mnajua mwanamke akiwa mkavu ukingza anachubuka, nashindwa kuelewa imekuaje amekuwa hivi kwasasa mpk nawaza kubeba mchepuko tu maana dini hairuhusu kuoa mke wa pili.

NB: JE WAKUU KUNA AMBAYE AMEWAHI KUTANA NA HILI NA ALIFANYAJE?
 
Anatakiwa arudishwe afanyiwe msondo wa uzazi,jinsi ya kuishi na mume baada ya kujifungia....anawaza mtoto tu huyo
 
Enzi zetu tulikuwa tunaletewa mdogo wa mke amsaidie dada yake baadhi ya kazi

Wahenga 'shikamoo'

Mdogo wake sasa! Sijui huwa anapewa maelekezo maalum!!!?

Dada mtu wala hashituki! Sijui naye anajuwa kinachoendelea!!!?

Mume sasa!

Sijui utamaduni huu bado upo? Maana ulikuwepo kwa baadhi ya makabila.
 
Wife ilishawahi mtokea hiyo ni hali tu itapita mm nilihisi amejifungua akapata matatizo ila jitahidi pia kumuuandaaa na usijipigie km zamani nenda nae taratibu tu utakuta uterezi unakuja wenyewe
 
Unadhani kujifungua ni jambo dogo??? Ungejifungua wewe usingetoa mzigo mwaka mzima
 
Back
Top Bottom