242015901_892482138055496_1856817538017356158_n.jpg
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Sheria ipi wewe au unabwabwaja tu.
 
aisee..... yaani jeshi linafanya kazi bila vifungu cha sheria bila kujua kwamba ukiwa mahakamani ukitoa kauli lazima uisindikizie na sheria. kazi ipo tena pevu.
Wamezoea kufanya ubabe wao kila mahali sasa wamwekewa breki
 
1631804134519.jpeg



Kesi ya mbowe na hao wanaosema ni magaidi inaushahidi wa kijinga kiasi kwamba Watanzania watajua je tuna Muhula wa mahakama au umegeuzwa wote kuwa sisasa. Lakini ni Judge gani mkuu ambaye mahakama itakuwa imekufa mikononi mwake!. Judge mkuu naye yupo kwenye kesi hii kwa namna hii
 
Back
Top Bottom