Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Wenzako walipotakiwa kuonesha hiyo sheria mahakamani walishindwa wewe bado unsng'ang'ania matakwa ya CCM!
 
Baada ya Jana jamii kupata habari ya kila kilichotokea Mahakamani kwa ufasaha bila kupindisha Leo jeshi la Polisi limedhibiti uingiaji Mahakamani pamoja na kuzuia matumizi ya simu...
Ina shangaza. kama mnakumbuka kesi ya mauaji ya Raisi wa mwanzo wa Zanzibar ilikuwa ikonyeshwa kwenye TV.
Sio live bali yote ikirikodiwa na kuonyeshwa usiku.
 
Kwa hiyo jamaa wamebana paja hatimaye wamepanua kwa mikono yao miwili kuelekea nyuma na imeingia!
 
Baba yako angeporwa pesa zote huko benki ungefurahia?

Ccm wenyewe wamefurahia msiba au unajisahaulisha?

"Hizi ni baraka za mungu Mimi kuongoza nchi na baraka ikija tusiiache-samia suluh 2021"

Baraka=kufariki magufili
Mama alitereza tu kwa hiyo kauli.
 
Ndiyo hapo mnazidi kumtukana na huyo kengeza wenu lazima alambe mvua za maisha na akitoka kengeza limekaa sawa
Thubutuu!! Mbowe anashinda kwa ulaini
stylin.gif
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Taja kifungu !
 
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
😁😁😁Kazi hipo
 
Nimeona chapishi nyingi humu kana kwamba sentenzi zake kama haziko sawa.Hata chapisho hili nikama limeingiziwa maneno Ili mada isieleeeke
 
Nimemshangaa sana huyu kijana wa ITV kutoa taarifa ya uongo kuwa mahakama imeweka utaratibu wa idadi ya watu wanaopaswa kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake.

Usahihi ni kuwa waliokuwa wameweka utaratibu huo ni Kingai RPC wa Kinondoni ambaye ni shahidi wa Jamuhuri katika kesi hiyo. Hata hivyo mahakama imeruhusu watu wote kuhudhuria kesi hiyo wakiwa na simu zao kwani hakuna sheria wala kanuni inayozuia.

ITV wanapaswa kufuatilia kwa karibu kuhusu taarifa zinazotolewa na kijana huyu!
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Ni kifungu Cha Sheria namba ngapi?

Amri ya mahakama inasema zima simu au ondoa mlio wa simu.

Hakuna Amri au Sheria inayozuia kuingia na simu mahakamani.

Update za mahakamani ni sawa tu na wakili anapomaliza kuongea shauri ndani ya chumba Cha mahakama,anapokuja kuhojia na waandishi wa habari nje ya chumba Cha mahakama
 
67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom