Una maanisha nini kumuita huyu mwandishi wa habari takataka? Nadhani pia mahakama unahusika sana tatizo iliingiliwa kimamlaka hivyo mawakili wa watuhumiwa pamoja na wasikilizaji wengine wakashinikiza kama kesi ipo mahakama ya wazi basi mazingira yaruhusu kesi izungumzwe kwa uhuru
 
Mwandishi asie na taarifa kamili ni tatizo kwa chombo anachofanyia kazi, ITV wajiangalie.
 
Una maanisha nini kumuita huyu mwandishi wa habari takataka? Nadhani pia mahakama unahusika sana tatizo iliingiliwa kimamlaka hivyo mawakili wa watuhumiwa pamoja na wasikilizaji wengine wakashinikiza kama kesi ipo mahakama ya wazi basi mazingira yaruhusu kesi izungumzwe kwa uhuru
Anatoa taarifa za uongo!
 
Ugumu ni kwenye kutenganisha ili kuelewa ya kuwa mh raisi anahujumiwa kutokana na jinsi nchi inavyoendesha ili wamchonganishe na wananchi? au anawashauri wabovu mno wa siasa na uchumi...
Muitikio wa chanjo ya COVID-19 na uvaaji wa barakoa ulikuwa ni kipimo tosha kwa mama kuona kwamba ana kazi kubwa ya kufanya kwa wananchi na kutafuta uungwaji mkono

Aidha hajifunzi kwa haraka au ana washauri wabaya wasio makini

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Anatoa taarifa za uongo!
Mahakama kama chombo kinachojiendesha kisheria hakiingiliwi na yeyote hivyo tatizo ni mahakama huyo kingai ni shahidi tuu hawezi kuingilia uhuru wa mahakama hata kama atatumia janjajanja mimi nitailaumu mahakama kwakushindwa kujisimamia
 
Siwezi kumlaumu moja kwa moja. Inawezekana anayesoma taarifa ya habari si anayekuwa ameandika habari, au siyo?
 
Hahahaaaa

Mawakili 20

Mawakili wa Jamhuri 8

Waandishi wa habari 10

Viongozi wa Ufipa 5

Wasikilizaji maalumu 3

Kwahiyo dogo katuingiza chaka........hahahaaaa!
 
Siwezi kumlaumu moja kwa moja. Inawezekana anayesoma taarifa ya habari si anayekuwa ameandika habari, au siyo?
mkuu mimi na wewe kama mshtaki na mshtakiwa hatuwezi kuingilia uhuru wa mahakama, wewe kama shahidi huwezi kuingilia uhuru wa mahakama athari hizi zilizotokea nikutokana na shahidi kuingilia uhuru huu wa mahakama sasa utamlaumu shahidi au utalaumu mahakama ambayo imeshindwa kujisimamia nakuja kutoa msimamo baadae?
 
Mbona kila mtu aliusheherekea ule Mzoga hata bi Hangaya alifurahia kukwaa Bingo bila jasho.
Na laana iko juu yenu maana Dkt Magufuli hakuwahi kushindwa jambo na hata mifupa yake haitashindwa maana mpaka sasa bila bila. Yaani ni sawa na Nyerere tu, yaani Lisu alijifanya mpaka leo yupo kwa mabasha wake.
 
Mwamba Mbowe atikisa daunia
KAMANDA_WOTE_MASHUJAA%2C_WAPENDA_HAKI%2C_WAFIA_CHAMA__tukutane_KIsutu_leo_mapema_kwenye_kesi_y...jpg
 
Endapo mwalimu shuleni angekuwa akimuuliza swali mwanafunzi na mwanafunzi nae amuulize mwalimu sijui ingekuwaje, wewe umeuliza swli, jibu swali. iko wapi sheria inayokataza kuingia na simu mahakamani ?

Jana tu watu walikuwa wnaingia na simu, baada ya jamuhuri kuumbuliwa na kuzuiwa kumtumia shaidi wa uongo imekasirika na kuelekeza vidampa wao wazuie watu kuingia na simu, kama wanayoyafanya ni ya haki nini kinachowatia hofu?
Kilichotumika ni busara ya mahakama
 
The HALLMARKS of bad governance:
1. Arbitrariness
2. Ambiguity
3. Capriciousness
Mahakama imeamuru wasikilizaji waingie lakini simu lazima ziwe zinazimwa mbona huelewi?

Kwani serikali ovu na njema ni ipi kwa rejea ya vigezo vyako hapo juu?

Serikali zote dunania
1. Hutumia nguvu kupeleka mambo yake inakotaka hata kwa kutumia njia za ulaghai
2. Wanamizengwe na taratibu zinazokatisha tamaa na kuchochea rushwa
3. Serikali inayobadilika bila kuwa na msimamo imara katika mipango na matarajio yake haifanikiwi

*Serikali inayojifanya ni ya kidemokrasia hiyo inaficha uovu uliokithiri kuliko yenye kutumia nguvu kufanikisha mambo yake
 
Back
Top Bottom