vyombo vya usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngorokori

    JamiiForums Tanzania Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

    Habari za jioni ndugu,jamaa na marafiki. Kuna jambo Huwa linafikirisha sana hususa nikipita MAENEO ya mjini kama KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM. Una Kuta Kuna idadi kubwa ya wasomali hasa maeneo ya msikitini wapo wengi sana. Na baadhi yao hawafahamu kabisa kiswahili na mara nyingi unawakuta wamekaa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

    Ni mpango wa Mungu. Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa...
  3. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama Vinapaswa Kulinda Taifa, Siyo Kulinda Mtu Mmoja | Kwa Nini Usimamizi wa Kikatiba ni wa Lazima

    Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa Vinapokuwa chini ya mtu mmoja pekee, bila usimamizi wa nje, vinaweza kutumika kwa urahisi kulinda...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni silaha kali, hata Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaukimbia

    Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu. Binadamu tuyatumie vema. Msingi wa yote ni ukweli. Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili. Ukweli haufichi maovu. Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni. Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  6. Bila bila

    JamiiForums Tanzania CCM na ahadi hewa kwa vyombo vya Usalama wa ndani

    Ilani ya CCM ya 2025-2030 Ibara ya 2.6 inayohusu uimaridhaji Utawala Bora na Demokrasia kifungu (v) wametoa ahadi tatu Kwa Polisi, Magereza, uhamiaji na Zimamoto ambazo ni;- 1. Mishahara kuboreshwa. 2. Mafao ya kustaafu kuboreshwa. 3. Umri wa kustaafu kwa Askari wa chini kuongezwa ikiwa na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chacha: Vyombo vya usalama mfuatilie Heche kwa kauli zake

    Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai. Akizungumza jijini Dodoma, Chacha amemnukuu Heche akisema, "Wasira ni mzee anasinzia kwenye vikao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je vyombo vya usalama vimekuwa machawa au ni Uzalendo

    Je vyombo vya usalama vimekuwa machawa au ni Uzalendo 1. Je utekaji unaweza kuwa uzalendo? Hasa kwa watu wasio na hatia 2. Kulinda watu ambao wanaiba kura na kushiriki wizi wa kura ni uzalendo? 3. Kuvizia viongozi wa upinzani bila sababu ni uzalendo? 4. Mashtaka ya uongo kwa wazalendo ni uzalendo?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Katambi kuhusu Kesi ya kupotea kwa Polepole 'Vyombo vya usalama vinaendelea na upelelezi'

    Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na upelelezi na uchunguzi wa kina juu ya kesi ya kupotea kwa Humphrey Polepole ili kubaini...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Safari Leo, Nikashauriwa na Afisa wa Cheo Cha Juu wa Vyombo Vya Usalama, Nisisafiri

    Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri. Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Unavidhalilisha Vyombo vya Usalama,, inamana Vyombo vinashindwa Kuwakamata hao walopanga kupiga Risasi waandamanaji?

    Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona unazidiwa na Musukuma wa Darasa la Saba??. Au wee Jamaa una roho mbaya tu inayotokana na Hofu yako...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Vyombo vya Usalama vyenye Uzalendo, Sheikh Mwaipopo angeshatiwa nguvuni

    Kwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo muda huu mwaipopo angeshatiwa kashkash na pia serikali kupitia jeshi la polisi wangeshamkana. Kama...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama wa Tanganyika shtukeni na anzeni kuwafuatilia Wazanzibari waliopo kwenye nyadhifa za juu serikalini

    Kuna mabilioni ya fedha yanapelekwa Zanzibar. Kuna harakati zilizoratibiwa zinazofanywa na wanaojiita Wazanzibari za kutaka kuvunja Muungano wa Tanzania. Moja ya mbinu wanazotumia watu hawa ni kuiibia Tanganyika kabla Muungano haujavunjwa rasmi. Wafuatilieni mapema kabla nchi haijaachwa tupu
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Confirmed !Hatimaye wamepewa Orodha ya Viongozi wa kisiasa, Mahakama, Vyombo vya Usalama ambao wanapenda kuwekewa Vikwazo !!

    Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho Kwa sasa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa panic na ujinga: Tutaona makada wa CCM kwenye vyombo vya usalama

    Yaani itakuwa kupanda cheo jeshini, usalama, polisi ni lazima uwe kada na uteuzi utafuata makada kwanza ndiyo tunapoenda. Hii ni kwasababu CCM imeishiwa njia nyingine zote za kushindani kwa hoja na kupambana na demokrasia
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwamba Tanzania ya sasa ni kama Uganda chini ya Iddi Amin kwamba usipomuona ndugu yako ujue ndugu yako ameuliwa

    Kwamba watu wanatekwa Tanzania hii ambayo hatujawahi kushuhudia haya mambo. Labda Rwand na Burundi na Uganda ya Amini. Inatisha na kama Taifa rais aingilie kati.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

    Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima Mnaonaje wakuu?
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kihongosi hujui sababu za Wananchi kuwachukia watumishi wa vyombo vya usalama?

    Kuna mahala nimesoma unalalamika kuwa kuna watu wanawachonganisha wana usalama na raia. Hivi ni kweli haujui yaliyotokea Oktoba 29 ni kovu ambalo halitafutika milelele? Vipi kuhusu wanaotekwa na kupotea au kuuliwa kama alivyoukiwa Mzeee Ali Kibao? Wewe unaona ni suala dogo? Leo hii akifa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je, AI inaweza kuwa msaada sio tu kwenye jamii ya kawaida bali pia kwenye taasisi za kiserikali, mashirika binafsi na vyombo vya usalama?

    Je, Mashirika na Taasisi hizo zinatumia Teknolojia ya Ai kwenye vitu mbalimbali ili kuongeza ufanisi na kasi ya kiutendaji ? Ni wazi Taasisi nyingi zina uhitaji wa teknolojia hii mpya ya Ai Kwa kuzingatia uzito wa suala hilo JamiiAI imebuniwa kwa lengo kuu la kuiwezesha jamii ya Kiswahili...
Back
Top Bottom