Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake.
Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali.
Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata mabandiko ya siri na viapo vya siri ktk dola hakuna mtu yupo tayari kutoa siri ndani ya dola maana anajuwa kitakacho mpata.
Katika muundo wa usalama kila mtu ana dot line yakutoa taarifa ndani ya hiyo dot line hakuna anaye mwingilia mwingine isipo kuwa ktk kila dot line kuna dot ya kwenda usalama wa Taifa. Haya majitu ya usalama wa taifa.. Kwa usiri mkubwa sana huchakata taarifa zote ktk idara nyeti zote kwa masilahi mapana ya Taifa pasipo kujali cheo au nafasi ya mtu ktk ngazi yeyote ile ya Taifa. Kwa wale wajuvi wa mambo ndani ya idara zote hakuna alie salama. Yes hakuna alie salama. Mdomo wako waweza kuwa kaburi lako ndio maana haya maidara yanatisha sana.
Katika Taifa moja Afrika pali ibuka chama chenye siasa kali za mrengo wa dini fulani chama kile kilitikisa taifa na taifa lile likatikisika Rais aliekuwa madarakani wakati ule akajiuzulu Taifa likaenda kwenye uchaguzi na kile chama kikashika dola. Pasipo kujuwa Rais wa taifa lile akamteuwa mkuu wamajeshi alie amini angemtii na kumsikiliza na kwakuwa chama kile kilishika hatam kwa ridhaa ya wananchi Rais akajuwa hakuna chakumtikisa.
Idara za usalama wa Taifa lile zikapenyezewa full taarifa ya mahusiano ya chama kile nataifa moja huko mashariki ya kati hapo ndipo mwenye dola alibadilishwa kuwa mdoli. Shirika la ujasusi lilipewa mpaka mpango mkakati wa Taifa lile kupitisha sheria kuwa taifa la dini fulani ili jambo hilo kuwa kweli basi muda haukupita Rais yule akataka badili katiba nakuweka vifungu idara walipewa. Amin usiamini Mkuu wa majeshi ambaye alichaguliwa na Yeye mwenyewe ndie alimfurusha madarakani na kumuweka kizuwizini mpaka umauti na haikuishia hapo chama kile kikawa black listed.
Nini tunajifunza katika hili ni muundo wa dola au idara za usalama mimi nadhani huwezi kuchunguza muundo ww dola lako ktk jukwaa au kwa kuteuwa watu wawili au mmoja why? Kumbuka mtutu yeyote anaye juwa muundo wa usalama anakuwa na hitaji la ulinzi wa ziada maisha yote why?
Pamoja na katobu mkuu wa Rais kuwa mmoja wao ila hata yeye haujuwi muundo yes haujuwi. Pamoja jaji mkuu anakalia kiti kama jaji mkuu bado haujuwi muundo na kama unabisha kamfufuwe Nyerere aje awasimulie.
Nini chaweza kutokea uwenda ile kamati tusiisikie popote tena na ile panguwa panguwa ikawa historia. Why mimi sina majibu kawaulizeni idara.
Kiufupi mbele ya dola hakuna alie salama ndio maana Rais wataifa lolote ni mfungwa mwenye mamlaka. Ndio maana hayupo na uhuru ule unauwona. Nakama unataka kuamini basi nenda kaulize why saa kumi nambili bendera inashushwa na bendera ya JWTZ inakuwa inapepea.
Ukweli nikwamba kuna vyombo havilali wakati jamuhuri imelala.
Je wajuwa nguvu ya Rais ni dola na dola yeye ndio command on chief. Je anaunda tume kuchunguza siri za nyumba yake while angeweza fanya kimya kimya kwa kutumia idara za siri? End