Huu ushuru wa wajasiriamali upoje?

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
264
276
Wanajukwaa salam.

Wanaotakiwa kutowa ushuru kwenye maeneo wanayotafutia riziki ni wepi Kati ya hawa? Waliopo kwenye maeneo rasmi kama masoko,au waliyo kando ya njia(road reserves) au maliyipo kwenye maeneo ya watu binafsi?
 
Minaona sio lazima ulipe, kama unaweza kukwepa fuata ushauri wangu mkuu
 
Back
Top Bottom