Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,105
Waziri ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa, anateuliwa na Mhe. Rais na anawajibika kusimamia masuala ya kisera ya wizara.
Leo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ? Je, katibu mwenyezi ndiye anapaswa kupima utendaji wa mawaziri? Muundo wa uwajibikaji upoje kwenye chama?