rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Artifact Collector

    Zile stori za Tanzania ina utajiri wa rasilimali nyingi ni uongo, au kuna shida mahali?

    Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
  2. Lord OSAGYEFO

    Kama tumeshindwa kuinua uchumi kwa rasilimali zilizopo hatuwezi kuuinua kwa tozo

    Hakika Tanzania ni moja ya nchi zilizobarikiwa kuwa na RASILIMALI nyingi sana. Tanzania ina Maziwa Mito Mabawa Mbuga za Wanyama Mabonde Milima Ardhi Watu Pamoja na Vyote hivi Tanzania ni nchi huru kwa Miaka 60 sasa bado Tanzania ni nchi masikini. Tumewasikia viongozi wetu Wakijitatapa kuwa...
  3. Bishop Hiluka

    SoC01 Mchele wa Kyela; rasilimali asilia tunayopaswa kujivunia

    “UKIWA Dar es Salaam wauzaji wa maduka ya mchele huwa wanajinadi kwa mbwembwe, ‘mchele safi kutoka mbeya’. Ukishafika Mbeya unakutana na wauzaji wa maduka ya mchele wakijinadi, ‘pata mchele safi kutoka Kyela'. Na ukifika hapo mjini Kyela utakutana na wauzaji wa maduka ya mchele wakijinadi...
  4. P

    Umasikini wetu umesababishwa na wingi wa Rasilimali tulizonazo?

    Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..! Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
  5. Nigrastratatract nerve

    Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  6. Nyankurungu2020

    Ili kutumia vyema rasilimali za taifa letu ilipaswa ijengwe Hospitali kubwa Mkuranga kumuenzi Mzee Ally Hassan Mwinyi

    Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450. Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari aliyashayatumia sana tena ya kila namna. Kwanini ili kuenzi utumishi wake uliotukuka usingejengwa hospitali...
  7. K

    Watanzania ni lazima waambiwe na wajue, hakuna tusichokuwa nacho ili kuiletea nchi yetu maendeleo

    Watu wa kwanza wanaotakiwa kulifahamu hili ni viongozi wetu, na wao ndio wawe mstari wa mbele kuhimiza kila mtu ajibidishe kujiletea maendeleo na kwa kufanya hivyo kuipatia nchi yetu maendeeo inayoyatafuta. Hii ndio kazi ya kwanza muhimu kwa viongozi wetu. Hatutegemei wawe watu wa kuzunguka...
Back
Top Bottom