rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  4. Magaso onesmo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 ijayoTanzania

    Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutumie rasilimali zetu tulizopewa na Mungu kukusanya pato la taifa kuliko kuwa na kodi na tozo kandamizi kwa wananchi

    Inashangaza sana kuwa na taifa ambalo lina kila aina rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kuwa na taifa ambalo lina pato kubwa la taifa. Fikiria madini ya almasi, dhahabu, ruby au Tanzanite yakivunwa vyema na kisha kuuzwa taifa letu litanufaika na kuwa na pato kubwa. Hivi hii nchi...
  6. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

    Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !! Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Keki ya Tanzania miaka 5-25 ijayo/udhibiti wa rasilimali fedha

    THE STORY OF CHANGE TANZANIA YANGU MIAKA 5-25 IJAYO (UDHIBITI WA RASILIMALI FEDHA YA WANANCHI) Tanzania ni nchi nzuri sana iliyo na watu wazuri na imesheheni rasilimali na utajiri mwingi lakini, Tanzania hiyo hiyo imekosa mifumo sahihi ya kumeneji, kutawala na kutumia rasilimali na utajiri...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nilitoa rai kwa wanaharakati na chadema kuwa waambie ulimwengu hivi kuhusu kupewa rasilimali zetu na Watawala kama walivyofanya wakenya. Soma bango

    na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ardhi ni rasilimali muhimu ambayo tunapaswa kuithamini na kuitunza kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo

    THE STORY OF CHANGE Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya mwaka 2022, kumekuwa na ukuaji mkubwa wa miji na ongezeko la mahitaji ya ardhi kutokana na upatikanaji...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Rasilimali nje ya hifadhi za taifa

    Taifa letu linahifadhi kubwa na vivutio vingi sana vya utarii,, lakini hii imekuwa ikizingatiwa kwa maeneno yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kuingiza kipato cha taifa,, na kufanyiwa usimamizi stahiki,, lakini licha ya hayo je, serikali inamtazamo gani juu ya mtazamo WA rasilimali nje...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto anasema Congo, Sudan Kusini, Somalia na Haiti wanaitegemea Kenya

    Ninavyofahamu Tanzania ndio nchi iliyobarikiwa kila aina ya Rasilimali hapa duniani na tunategemewa na nchi mbalimbali Sasa Nimeshangaa sana kumsikia Rais Ruto akitamba Kwamba wao Kenya ndio wamebarikiwa Rasilimali na inategemewa na Congo, South Sudan, Somalia na EU Lucas una lolote la kusema? 😀
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika Maendeleo ya Jamii, ni miongoni mwa viongozi walioteuliwa kushika nafasi mpya. Petro Itozya, aliyekuwa...
  15. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Magari ya gharama kubwa yamekuwa mengi mtaani, nini kipo nyuma ya pazia?

    Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam utakubaliana nami, huko barabarani kwa sasa magari ya gharama ni mengi...
  16. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Tunaowapa madaraka wanajua wajibu wao hasahasa rasilimali za nchi

    "Wakati wanajeshi wakilinda mipaka ya nchi kizalendo, wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu, je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?" CCM na Chadema wanatakiwa waungane walikomboe hili taifa, CCM wanasema nchi yetu ni nchi ya amani lakini wajue amani ni tunda la haki na uwajibikaji.
  17. mangikule

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu kwa wanaojua ukweli

    Tumepewa Maneno mengine na maushahidi: 1. Eti bandari zote kapewa/Kauziwa mwarabu wa Dubai? 2. Eti misitu hecta 80,000,000 ameuziwa mwarabu wa Dubai kuvuna hewa ya ukaa? 3. Eti mbuga za wanyama zote wameuziwa waarabu na wakazi wa mbugani wamasai wamefurushwa? 3. Eti sehemu ya bahari na madini...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD?

    Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo? Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari! Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

    Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii...
Back
Top Bottom