Habarini wakuu,
Tunauza asali mbichi kutoka Tabora na Dodoma. Ni pure na filtered. Bei zetu ni rafiki:
Nusu lita: 7,000/=
Lita 1: 13,000/=
Lita 5: 60,000/=
Pia unaweza pata lita 20 na kuendelea kwa bei nafuu sana.
Free delivery kwa wakazi wa Dar.
Karibuni sana.
Mawasiliano: +255 744 059782