Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,006
Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi
Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi jinsi zilivyowasaidia
Kipindi cha Magufuli alilamika nchi inaibiwa na makampuni ya madini kutoka nje ya nchi, akabadili Sheria tukaambiwa tutakua tunapata share kubwa, lakin mbona mzigo wa Kodi anabebeshwa mwananchi kabudi atusaudie kutupa jibu sababu yeye ndo alietuambia tutaanza kuneemeka
Kama tungekua na rasilimali nyingi mwigulu asingebebesha wananchi mzigo wa Kodi