kihiyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  2. M

    Ramadhani Kihiyo na Ramadhani Kingai

    Wawili hawa ni waumizwa na maswali ya mawakili.Kesi ya Ramadhani Kihiyo ilitupatia msamiati wa Kihiyo,vipi ya Kingai?Tucheke kidogo
  3. J

    Suala la Halima Mdee na wenzake linafanana sana na lile la mbunge Kihiyo wa Temeke 1995, hatimaye Kihiyo alipoteza ubunge

    Sisi wahenga tukiliangalia tukio la wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee tunaweza kulifananisha na lile la mbunge wa Temeke 1995 mh Kihiyo. Kihiyo siyo kwamba hakusoma shule, No alisoma isipokuwa alicheza na makaratasi ili aonekane almaarufu wakati sifa ya mbunge ni kujua...
  4. Lord Diplock MR

    Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  5. Konzo Ikweta

    Michango ya wabunge wetu ipo chini sana, hawana HOW kwenye michango yao

    Na Thadei Ole Mushi. Nimekuwa nikifuatilia michango ya wabunge wetu bungeni naona tuna tatizo kubwa mahali. Mbunge anapewa dakika kumi kuchangia mfano wizara ya viwanda na Biashara. Dakika tano anatumia kuwashambulia Chadema. Dakika tatu anasifia Serikali ya awamu ya tano, dakika Moja anasema...
  6. Mag3

    Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

    Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee... Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
  7. MTOTELA

    Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

    Ramadhan Ali Kihiyo alikuwa mbunge wa Temeke alishinda uchaguzi wa Temeke.... baadae NCCR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kwa kua Mtuhumiwa alitumia vyeti visivyo vyake. Yafuatayo ni Mahojiano Ya Dr. Lamwai na Mtuhumiwa Kihiyo. Lamwai: You say you graduated from the Dar es Salaam...
  8. K

    Yuko wapi Ramadhan Ally Kihiyo?

    Alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM. Alipata kashfa ya kufoji vyeti vya taaluma na hatimae kuvuliwa ubunge. Kesi yake iliibua msemo maarufu wa "KIHIYO" kumaanisha mtu yeyote ambaye hakusoma au alisoma kwa kudesa desa. Tangu mwaka 1996 hadi sasa, hajasikika kabisa. YUPO WAPI? Soma pia Jinsi...
Back
Top Bottom