polisi tanzania

Polisi Tanzania (Polisi Morogoro) is a football club in Morogoro, Tanzania.The 2015/16 season they are playing in the Tanzanian First Division League. They previously played in the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi tanzania limekuwa la ovyo na linazidi kuwa la ovyo.

    Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu. Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi hawezi kuwa nayo na zile silahaa kwa mtu kama afande muriro mstaafu japo yupo kazini mara moja kwa sifa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Vituo vya polisi Tanzania kukataza parking magari ya wananchi/wateja

    Kwenye vituo vyetu vya polisi siku hizi kumekua na tabia ya kukataliwa kupark/kuegesha gari eneo la maegesho. Eneo lina nafasi ya kutosha hakuna magari ila unaambiwa hapa hauruhusiwi kupaki. Sasa mwananchi ameenda kituoni kupata huduma anakatiliwa kuegesha gari hii haijakaa sawa. Mbaya zaidi...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

    Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, Msipokee kila maelezo. Panadol overdose haiui siku moja

    Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania huenda likawa Jeshi namba 1 duniani kwa umahiri

    1. Wakati wamarekani wamemteka Maduro kama kuku, jeshi la polisi Tanzania wiki chache zilizopita lilifanikiwa kumtia mbaroni mwanajeshi wa Marekani tena akiwa na silaha na Trump ameogopa kuongea chochote maana anajua nini kingempata. 2. Umahiri wa kamanda Mafwele na Afande Muliro. Hii...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania hawaiamini Mahakama? Wanahukumu kifo wenyewe. Washaua watu 4

    Polisi wameua watu 4 kwa siku moja. Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya. Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia. Nchi haina mwenye. Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Genge la polisi ni kikundi cha kigaidi nchini Tanzania, watekaji na wauwaji na ndio wasiojulikana

    Genge la polisi ni kikundi cha kigaidi nchini Tanzania watekaji na wauwaji na ndio wasio julikana. Kinapaswa kutambuliwa kama kikundi cha kigaidi Africa na sio chombo cha usalama.
  12. Kijukuu cha ngoyayi

    JamiiForums Tanzania TUMETOKA KWENYE POLISI TANZANIA MPAKA HUKU?

    Hizi message wanazotuma mbona zina heading tatanishi
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kwa nini polisi inapost kauli za Mwigulu? Wanaingiaje kwenye maswala ya bunge na waziri mkuu?

    Kwenye IG ya Polisi Tanzania wanaposti hotuba za waziri mkuu mteule Mwingulu Nchemba kwa misingi ipi? Mbona wanaleta mambo ya Polisiccm na siasa za uchawa. Yani tumeshindwa kuelewa Basi kama walitaka kumpost wangetengeneza post ya kumpongeza kuliko kufanya uupuzi wao kama huu. Na hii si mara...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania litabaki kuwa jeshi bora duniani, hongereni kwa kufanya kazi kizalendo

    Sote tumeona uzalendo na utendaji KAZI mzuri wa jeshi letu la Polisi, tumeona kujituma kwenu katika kulinda na kutetea Mali zetu zisiibwe au kuharibiwa na majangiri kwa kivuri Cha maandamano. Hamkuruhusu majangiri na vibaka waendelee kuchoma moto na kuharibu maduka yetu, popote mlipo mlipigania...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siri ya wageni wasio wageni walioshriki mauaji ya raia, dhana hiyo siyo ngeni duniani

    PROPAGANDA YA UWEPO WA WAGENI, NI MFU NI VYOMBO VYETU NDIYO HAO "WAGENI' AMBAO HATA SAMIA ALIDAI WAPO NCHINI Katika ulimwengu wa vyombo vya usalama, kujitungia lugha isiyoeleweka na wenyeji siyo jambo geni. Lakini ni jambo geni hasa pale vyombo vinapotumika kuuwa raia wake ndani ya mipaka ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 5: Polisi wasema kuna wageni wameingia nchini kuchochea vurugu

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda. Taarifa zinasema watu hao...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Idadi ya polisi Tanzania.

    Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi. Idadi ya polisi kwa makadirio ya umoja wa mataifa ni karibu elfu 40 tu. Yani 40,000. Sasa jumlisha ata na vyombo vingine mfano jeshi...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Aunty Lulu: Bora tukutane na Mchawi kuliko Polisi Tanzania. Atakuteka, atakubaka, atakuua na kukutupa na hataulizwa. Polisi sio kimbilio tena!

    Kaandika hivi kwenye Page yake ya Instagram 👇 "Hii ndiio Tanzania ya samia na wanaompoteza na Hawa ndo polisi .😭😭😭tutoke jaman achana na kaul sa kusema wanaowashauli hawapo Tanzania Mbn mm nipo Tanzania ?sativa na wanaharakat wengine wapo Tanzania." MY TAKE: Namuunga mkono. Ukikutana na...
  20. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, siyo watu wa kujenga ukaribu nao

    Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo. Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
Back
Top Bottom