kesi jamiiforums

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

    ===== UPDATE: Hakimu Simba ameshindwa kusoma hukumu Desemba 06, 2019 na hivyo hukumu hiyo itasomwa January 22, 2020 ==== Wakuu, Kesho, Desemba 06, 2019 kutakuwa na hukumu ya mojawapo ya kesi zilizofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Media Co. Ltd na mwanahisa, Mike William...
  2. JamiiForums

    Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

    Wakuu, Leo Kesi namba 456 inayowakabili Maxence Melo na Micke William imeendelea tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba kwa kusikilizwa Shahidi wa tatu na wa nne katika kesi hii. Tayari shahidi wa kwanza kwenye kesi hii alishafanyiwa mahojiano na kutoa...
  3. Roving Journalist

    Sehemu ya II: Jamhuri vs JamiiForums kuhusu Oilcom na Uchakachuaji mafuta/Ukwepaji Kodi bandarini Dar

    Habari Wakuu, Kutoka Kisutu, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William inaendelea kuunguruma leo Mahakama ya Kisutu. Kesi hii iliahirishwa jana, hivyo leo inaendelea. Kujua kilichojiri...
  4. Roving Journalist

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Habari waungwana, Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William imeanza kuunguruma Rasmi Mahakama ya Kisutu...
Back
Top Bottom