Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535


NOTE:
å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea...

å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni mambo ya sheria. Ukitenda hili utaulizwa kwa mujibu wa sheria na kifungu gani cha sheria hiyo..!

Aluta Continue...
 
Haya majina yanayoishia na herufi "gai" kama Ndugai, Kingai,... sijui yana siri gani ndani yake!?
Na yule Kigaigai ambaye ni Rc wa Kilimanjaro, amekamata vijana zaidi ya 500 wanaofanya mafunzo yasiyojulikana.
 
Back
Top Bottom