John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:

"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi"

Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia Space!

Ni maneno ya ndugu Jonh Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA.

Nini maoni yako?
 
Eti MBOWE ni gaidi, Mwanamke akimoenda mwanaume, halafu akashindwa kumwambia, huanza kumfanyia visa.
Mapenzi ni kitovu cha uzembe
 
Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:

"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi"

Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia Space!

Ni maneno ya ndugu Jonh Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA.

Nini maoni yako?
Chadema mnajua kutengeneza fitina lakini system inajua. Hata huko Mwanza mlisema Kamanda wa Police wa Mkoa aliwaambia ametumwa na Rais Samia kuja kusimamisha lile kongamano wakati makamanda wote wanafanya kazi chini ya IGP.
Mwache kupotosha watanzania
 
Ushahidi upo wapi?
 
🤣🤣

Kwa hiyo hayo maneno ya kuambiwa ndiyo TUYATHIBITISHE UKWELI WAKE ?!!!

John Mrema ni mwanasiasa.....inawezekana pia ni POLITICAL MILEAGE ya chama 🤣
 
Ni bahati mbaya sana CCM wanafanya haya kumuangamiza Rais na yeye hajui kuwa anaingizwa mkenge na kundi la kikafiri kutoka ndani ya CCM.
Baada ya haya yote lawama zote zitarudi kwa Rais na hawa majambazi aliyoyaapisha kwa mikono yake yatamgeuka na kujifanya yalitumwa na yeye. Arejee yaliyotokea baada ya kifo cha Magufuli.
 
Mbowe ni Gaidi alimwambia Sabaya akishinda kesi ata deal naye

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chadema mnajua kutengeneza fitina lakini system inajua. Hata huko Mwanza mlisema Kamanda wa Police wa Mkoa aliwaambia ametumwa na Rais Samia kuja kusimamisha lile kongamano wakati makamanda wote wanafanya kazi chini ya IGP.
Mwache kupotosha watanzania
Kwan boss wa RC Ni Nani? Na mbona mawaziri wanatoa maagizo same time Rais
 
Back
Top Bottom