Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria Bola Tinubu

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,032
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu, aliyeshinda kiti hicho kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Februari 2023.
FxOXN4GWIAID22G.jpeg
FxOXJliaAAY7_SR.jpeg
 
Hata akitaka ahamie huko huko baada ya sherehe. Hatujali wala nini.

Nigeria si ndio tunaona kwenye movie zao mtu anabadilishwa kuwa mbuzi kwa uchawi.
Nawaza nje ya box, haihusiani na mada.
1685288988546.png
 
..Nigeria ina mchango ktk ulinzi wa nchi yetu.

..baada kuzimwa kwa maasi ya Jeshi la Tanganyika /Tanganyika African Rifles mwaka 1964, Nigeria walituma kikosi cha wanajeshi kuja kulinda amani hapa nchini.

..Nigeria pia ilikuwa na mchango mkubwa ktk vita vya ukombozi kusini mwa Afrika. Walitoa msaada mkubwa wa kifedha na kidiplomasia kwa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika.

..kwa msingi huo ni muhimu sana Raisi wa Tanzania kudumisha mahusiano mema ya muda mrefu kati ya Tanzania na Nigeria.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu, aliyeshinda kiti hicho kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Februari 2023.View attachment 2638368View attachment 2638370

Tanzania taifa letu bora afrika
 
Back
Top Bottom