Rais Mteule wa Nigeria yupo Paris kwa Mapumziko

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,553
32,175
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi.

Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023.

1000x-1.jpg

===

Nigeria’s president-elect left the country Tuesday to rest after his recent electoral campaign, his office said.

Bola Tinubu, who will be inaugurated as president on May 29, will visit Paris and London before traveling to Saudi Arabia to take part in a pilgrimage during the Muslim holy month of Ramadan that begins on Thursday, his spokesman said in a statement.

“While away, the president-elect will also use the opportunity to plan his transition program,” according to the statement. His office didn’t say when Tinubu would return.

Tinubu, 70, is a frequent visitor to London and spent 90 days in the city in 2021 undergoing and recuperating from knee surgery. He dismissed concerns about his health raised by opponents during the campaign before last month’s presidential election.

Visits to London for health-care aren’t uncommon for Nigerian leaders. Outgoing President Muhammadu Buhari was a frequent traveler to the UK capital for medical reasons, which overshadowed his rule of Africa’s most-populous country.

Bloomberg
 
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi. Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023.
Huyo ni tajiri wa kutisha.
Hapo hatumii kodi ya walala hoi.
Pili bado hajaapishwa so hana la kufanya
 
Kama huyu kashinda uchaguzi na Miaka 80 hata Lowasa asikate tamaa ipo siku atashindwa uchaguzi
Wanadai kaenda kupumzika, lakini wengine wanadai kaenda kutibiwa! Hata wakati wa kampeni, pamoja na kuonekana kazeeka sana, pia alikuwa anaonekana kadhoofu!

Naona ndiyo style yao, ya kuchagua "walio choka" kama "E.L" wetu, kwani hata Buhari naye alikwenda "kupumzika" huko majuu, na yule "mwingine" ndiyo alikufa kabisaaaa!
 
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi. Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023.
Sasa mnajifyata fyata tu.

Si nyie ndio mlisema Magufuli ni mshamba na hasafiri nchi za nje?
 
Mzee kaingia ili kuinua biashara za marafiki zake kwenye serikali

Mwingine leo mwanasiasa maarufu Naigeria kasimama mahakamani kwa kutaka kutoa Figo za kijana mmoja ili ampandikizie mwanae ambae Figo zimeharibika
Nimechomekea tu
Screenshot_20230323_210713_Chrome.jpg
 
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi. Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023.
Miafrika ndivyo tulivyo. Kosa kubwa alilolifanya Mungu ni kummumba mwafrika. Worse still akawaletea na dini ndio tukaisha kabisa.

By the way it seems anaumwa labda kaenda kwa matibabu! Lakini kwake si hospitali zipo? washenzi tu waafrika
 
Miafrika ndivyo tulivyo. Kosa kubwa alilolifanya Mungu ni kummumba mwafrika. Worse still akawaletea na dini ndio tukaisha kabisa.

By the way it seems anaumwa labda kaenda kwa matibabu! Lakini kwake si hospitali zipo? washenzi tu waafrikamn

Mnataka mmfanye kama adui yako! Afadhali aende atibiwe nje ambapo akina Janabi hawapo
 
Hiyo ni tajiri wa kutisha.
Hapo hatumii kodi ya walala hoi.
Pili bado hajaapishwa so hana la kufanya
Du. Are you serious? Mimi nilidhani katika kipindi ambacho rais anakuwa busy ni kipindi hiki! Unakwenda kufanya mipango ukiwa Ulaya?

Hapa watakuwa wameficha kitu. Huyu ameenda kutibiwa! Na hakuna aliyesema anatumia fedha za serikali, soma vizuri.
 
Back
Top Bottom