ampongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Ma RC na Ma DC kupunguza idadi ya magari kwenye ziara, ampongeza RC Dodoma kutumia gari moja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania RC Queen Sendiga ampongeza Mbunge wa Babati (V) Daniel Sillo kuwa Naibu spika wa Bunge

    Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Umoja wa Afrika (AU) ampongeza Rais Samia kwa ushindi, akumbushia HAKI ZA BINADAMU

    Mwenyekiti wa sasa ni João Manuel Gonçalves Lourenço, wa Angola
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ampongeza Kitila Mkumbo

    Siasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA ampongeza Wallace Karia, asema ni "Kiongozi bora kwenye Historia ya TFF"

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia "Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama...
  6. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Putin ampongeza Trump na kusema yupo tayari kusuluhishwa na Ukraine vita iishe

  7. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Shemsa ampongeza Rais Samia kwa kusongesha maendeleo ya taifa mbele

    Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za Moto" ambapo leo zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika. Katika ziara hii, Mwenyekiti alitembelea...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  9. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine Zelensky eti naye adiriki kumpongeza Donald Trump kwa ushindi

    Kaposti kupitia ukurasa wake wa X. Zelensky "I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can practically bring just peace in Ukraine closer.” Hii ni habari mbaya sana kwa huyu hayawani: lazima akose...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  11. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Katambi ampongeza rais samia kutoa fedha za kuwezesha usimikaji wa mfumo cma

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amempongeza Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya kuwezesha usimikaji wa Mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa mashauri kwa njia ya mtandao. Mhe...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa ampongeza Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuwa alimtendea haki Baba yake 2015. Amuomba akasimamie kanuni zisikanyagwe tena

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Suma Fyandomo ampongeza Dkt. Tulia kwa ushindi IPU

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo ametoa pongezi kwa ushindi mnono alioupata Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) "Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampongeza Dkt.Tulia Kushinda Urais IPU

    Rais Samia Suluhu amempongeza Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). “Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

    Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ampongeza Emmerson Mnangagwa kwa Kuchaguliwa Kuwa Rais wa Zimbabwe

    Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameandika Ujumbe wa kumpongeza Emmerson Manangangwa kwa Kuchaguliwa Kuwa Rais wa Zimbabwe Ameandika "On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt...
  17. J

    JamiiForums Tanzania JK ampongeza Rais Samia maandalizi uzinduzi programu ya uwekezaji sekta ya maji Tanzania 2024-2030

    JK AMPONGEZA RAIS SAMIA MAANDALIZI UZINDUZI PROGRAMU YA UWEKEZAJI SEKTA YA MAJI TANZANIA 2024-2030 Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Water Partnership Southern Africa (GWPSA) na Mwenyekiti...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampongeza Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kwa Kuchaguliwa Tena

    Kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongezi kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki. Ameandika: "Pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwakilishi wa Wafanyakazi nchini ampongeza Rais Samia kwa kujali Maslahi ya Watumishi nchini

    Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza Rais Samia kwa kutoa hotuba iliyozidi kuleta matumaini mazuri kwa wafanyakazi wote nchini. Mhe...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Chisano ampongeza Rais Samia kuthamini Kiswahili

    Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amesema utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ni matokeo ya juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuthamini, kukuza na kuendeleza Lugha ya Kiswahili nchini. Alitoa kauli hiyo akiwa mkoani Dares Salaam alipokuwa mgeni katika hafla...
Back
Top Bottom