online tv

Streaming television is the digital distribution of television content, such as TV shows, as streaming media delivered over the Internet. Streaming TV stands in contrast to dedicated terrestrial television delivered by over-the-air aerial systems, cable television, and/or satellite television systems. The use of streaming online video and web television by consumers has seen a dramatic increase ever since the launch of online video platforms such as YouTube and Netflix.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    TCRA ina 'task force' ya kuwashughulikia wenye televisheni za online ambazo hazijasajiliwa

    Engineer Kisaka ameyasema hayo leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano. "…lazima tumsikilize kila mmoja anasemaje. Muafaka uliofikiwa ni kuwa...
  2. B

    Dar Mpya Online Tv yawa Zamampya Tv

    Kwa wale wafuatiliaji wa mambo, siku kadhaa zilizopita chaneli ya DAR MPYA ilipata misukosuko kidgo na TCRA baada ya kuchapisha maudhui yaliyoonesha baadhi ya watu "waliodaiwa" kupangwa ili kufanya propaganda kuhusiana na suala zima la Ngorongoro. Pamoja na misukosuko hiyo, mapema mwezi wa...
  3. B

    Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online tv

    Wakuu habari Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online TV. Wajue ni vifaa gani vya kuanzia tuwe navyo, na programs zote za kufanyia kazi. Wajue kuoperate hizo programs na vifaa. Mmoja awe mwanaume na mwingine binti. Wasizidi umri wa miaka 30. Ukiwa tayari nicheki PM. Mimi...
  4. B

    Natafuta watu wa kufanya kazi baada ya Kuanzisha Online TV

    Wakuu habari Nataka kuanzisha online tv. Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja Ni pm namba ya simu tuyajenge
  5. Nyendo

    Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  6. Analogia Malenga

    Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee. Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
  7. Nyankurungu2020

    Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  8. Roving Journalist

    Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  9. Miss Zomboko

    Online Tv zinazofanya mahojiano ya kudhalilishana na kukiuka Maadili ya Nchi kufungiwa

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile, amesema kuwa online TV zote ambazo zinafanya mahojiano ya kudhalilishana na zile zinazokiuka maadili na utamaduni wa nchi zitafungiwa na wamiliki wake kuchukuliwa hatua za kisheria. Submitted by Agnes Kibona on Jumanne, 9th...
Back
Top Bottom