tanzania daima

Dar es-Salaam (; from Arabic: دار السلام‎, romanized: Dār as-Salām, meaning: Place of Peace) is the largest city and former capital of Tanzania. It is the largest city in East Africa and the seventh-largest in Africa, with a population of 6,701,650. Located on the Swahili coast, Dar es-Salaam is an important economic centre and one of the fastest growing cities in the world.Until 1974, Dar es-Salaam served as Tanzania's capital city, at which point the capital city commenced transferring to Dodoma, by order of then-president Julius Nyerere, which was officially completed in 1996. However, as of 2018, it remains a focus of central government bureaucracy, although this is in the process of fully moving to Dodoma. It is Tanzania's most prominent city in arts, fashion, media, music, film and television, and is a leading financial centre. The city is the leading arrival and departure point for most tourists who visit Tanzania, including the national parks for safaris and the islands of Unguja and Pemba.
It is the capital of the co-extensive Dar es-Salaam Region, which is one of Tanzania's 31 administrative regions and consists of five districts: Kinondoni in the north, Ilala in the centre, Ubungo and Temeke in the south and Kigamboni in the east across the Kurasini creek.

View More On Wikipedia.org
  1. Idofu

    Gazeti la Tanzania Daima wamebadili jina?

    Nauliza tu kwa wanaojua, hivi gazeti la Tanzania Daima wamebadili jina na kujiita Gazeti la Demokrasia? Au ni magazeti mawili tofauti? Kama ndio kwa nini gazeti la Tanzania Daima halipo sokoni siku hizi?
  2. T

    Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  3. T

    Gazeti la Tanzania Daima linashindwa cha kuandika kwa mrengo wa kupinga linaishia kuipamba Serikali

    Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala. Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
  4. Q

    Tanzania Daima: Kuna Hujuma Baraza Kuu CHADEMA

    Mkutano wa baraza kuu la Chadema unatarajiwa kufanyika leo huku Gazeti la Tanzania Daima lililo karibu na uongozi wa Chadema limeripoti kuwa kuna hujuma. Ni hujuma zipi?
  5. John Haramba

    Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  6. Roving Journalist

    TEF yamtaka Waziri Nape kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto na Tanzania Daima

    KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
  7. Erythrocyte

    Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

    Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao . Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni...
  8. Roving Journalist

    Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  9. Erythrocyte

    Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

    Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
  10. I

    Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

    Ukimaliza chuo na degree yako huku mtaani ukija ujue ndo unaanza form one za kitaa. Huku ni kutafuta kwa jasho degree inabaki kwanza kwenye karatasi. Tatizo vile vyeti hata Kuombea mkopo wa kuanzisha hata biashara au mradi wowote ule wa maendeleo haviwezi. Elimu yetu inatusaidia kupata vyeti...
  11. E

    Ukishangaa ya gazeti la Tanzania Daima utastaajabu ya Fatma Karume

    Fatma karume a.k.a shangazi anasema anastaafu uwakili kwa sababu ya mahakama zetu kutokujitambua baada ya kusimamishwa uwakili nakuitwa kwenye kamati ya nidham akiwa km wakili. Naakasema haendi ili waamue wanavyoamua Hakuna asiyejua kuwa ndg yetu fatma karume ameamua kubwaga manyanga baada...
  12. E

    GAZETI LA TANZANIA DAIMA LALIA NA TAKUKURU TANZANIA.

    wanabodi kwa taarifa za awali nikwamba , kilichopelekea gazeti la tanzania daima kufungiwa leseni ni takukulu. inasadikiwa baada ya takukuru kutimba ndani ya chadema kuchunguza ufisadi uliolalamikiwa na mh. Lijua likali Gazeti hilo limekoswa fedha za kujiendesha, ikiwemo mishahara na...
  13. Erythrocyte

    Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

    Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini...
  14. Influenza

    Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
Back
Top Bottom