uhuru wa vyombo vya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Calvin Mmari

    SoC03 Natamani viongozi wote wangekuwa na mimi utotoni

    Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani" Muda wote huo baba kwani huchoki? "Hapana hadi ifike mwisho ndo nitakuruhusu uichomoe" Hayo...
  2. Mfalme wa Genge

    Serikali imechelewa sana kufungia gazeti la Raia Mwema

    Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari. Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina mhariri au mhariri mwenyewe ndio mwanaharakati au haijui kazi yake vizuri. Nitoe tu heko kwa...
  3. Khadija Mtalame

    CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na kuwasimamisha Watendaji Wakuu watatu

    DANIEL CHONGOLO AMBAE NI KATIBU MKUU CCM TAIFA AMELIFUNGIA SIKU SABA GAZETI LA UHURU KWA KUCHAPISHA HABARI ISEMAYO KUWA RAIS SAMIA HASSANI SULUHU HANA MPANGO WA KUGOMBEA 2025. GAZETI LA UHURU LIMEFUNGUWA SIKU SABA Uhuru wa vyombo vya habari saizi uko huru. Pia soma Gazeti la Uhuru: Rais...
  4. Roving Journalist

    Hotuba ya Taasisi za Kihabari katika siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani (WPFD) iliyoadhimishwa kitaifa mei 3, 2021 Jijini Arusha, Tanzania

    HOTUBA YA TAASISI ZA KIHABARI KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2021 JIJINI ARUSHA, TANZANIA Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Iddi Hassan Kimata; Naibu Waziri wa...
  5. Roving Journalist

    Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  6. snow snow

    Tume ya Mawasiliano Uganda inataka Google kufunga vituo kadhaa vya YouTube

    Tume inayosimamia mawasiliano nchini Uganda (UCC) imeandika barua kwa kampuni ya Marekani ya Google, ikiitaka kampuni hiyo ifunge stesheni kadhaa za televisheni zinazopeperusha matangazo yake kupitia You tube. Miongoni mwa stesheni hizo ni Ghetto TV, inayomilikiwa na chama cha National Unity...
Back
Top Bottom