kuoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  2. S

    Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  3. mika micah

    Tumeacha kutetea nchi tukaanza kutetea dini

    Miezi miwili iliyopita nilishuhudia umoja wa nchi wangu. Kila Mtanzania alikuwa na kauli moja. Hii ilinipa furaha na faraja. But immediately vitu vikaanza kuchange. Tukaacha kutetea nchi tukaanza kutetea dini. these mfs are smart and the old strategy DEVIDE AND CONQUER still works. Once...
  4. Black Opal

    Unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani kwa muda mrefu kwenye friji bila kuungua na barafu au kuoza?

    Heri ya Pasaka Wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi? Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga...
  5. Bridger

    Ugonjwa wa Kuoza kwa Meno unaweza Kuambukizwa

    Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza. Msingi wa madai haya ulipewa nguvu kubwa na kukosekana kwa tafiti sahihi za kisanyansi, pia uwepo wa ombwe kubwa la taarifa zinazohusu mambo ya kinywa na meno. Tunafahamu nini kwa sasa kuhusu ugonjwa huu?
  6. Lady Whistledown

    Kuoza kwa Meno (Dental Caries) ni ugonjwa wa Kuambukiza

    Na Daktari Augustine Rukoma Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza; lakini tafiti nyingi zilizofanyika zimedhihirisha ni ugonjwa wa kuambukiza. Jino lililooza linaweza kuambukiza meno yaliyogusana nalo na pia mgonjwa aliyeoza meno...
  7. Nyankurungu2020

    Mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki: TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao. Hii ni harufu ya ufisadi. TANROADS inafanya nini?

    Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa. Hapa kutakuwa na namna. Watanzania huu ndio wakati wa...
  8. JanguKamaJangu

    Utafiti: Vichungi vya sigara vinatumia hadi miaka mitano kuoza

    Vichungi vya sigara (vitako) ni kati ya vitu vyenye uchafuzi na sumu vinavyopatikana katika vyanzo vya maji, pia inachukua hadi miaka mitano kuoza vikitupwa ardhini, hiyo kuruhusu nikotini na kemikali kuingia kwenye mifumo ya ikolojia inayozunguka ambayo inaathiri maisha ya binadamu. Utafiti wa...
  9. britanicca

    Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

    Habari za wanandugu hapa! Wakiwa wamekufa wanajeshi zaidi ya 10,000 wa Urusi na 2600 wa Ukraine na raia 5200 wa Ukraine, Hakuna aliyeamini Kama Kuna Kifaru cha Urusi kitaguswa wala hakuna aliyeamini kama Urusi ataruhusu hata majeshi wake mmoja kuuwawa huko vitani, maana wengi walilibeka...
  10. U

    Kukatika katika kwa umeme mkandarasi wa stigler's anadai bil18 hasara , cc Wananchi nani atatufidia, samaki kuoza, vifaa kuungua

    CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo, kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
  11. S

    Tatizo Serikali iliyopo haikuchaguliwa kihalali na imeshavunda bado kuoza

    hakuna asiejua kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi Mkuu uliopita ,ulikuwa ushindi wa kulazimisha liwe liwalo na mwishowe kuapishwa waliosadikishwa kuwa wameshinda. Asilimia kubwa ni waumini hapa Tanzania ,baada ya dhulma milango ya dua ilikuwa wazi kwa waliodhulumiwa, yanayotokea leo ni mambo...
  12. Hivi punde

    Baada ya kuzikwa kaburini, binadamu huchukua muda gani kuanza kuoza?

    Ndugu zangu, hongereni kwa weekend. Binadamu akishazikwa kaburini, inamchukua muda kuanza kuoza na hatimae kupoteza sura yake ya awali? Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom