Mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki: TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao. Hii ni harufu ya ufisadi. TANROADS inafanya nini?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa.

Hapa kutakuwa na namna.

Watanzania huu ndio wakati wa kutwangwa vitu vizito.
vi👇
Screenshot_20220613-213055.jpg
 
Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa.

Hapa kutakuwa na namna.

Watanzania huu ndio wakati wa kutwangwa vitu vizito.
viView attachment 2259792
Kwani serikali ya mwendazake ilikuwa ya chama gani na hii ya mama niyachama gani ,!
 
..unasema ni vivuko vya huyo uliyefariki.

..halafu unashangaa havifanyiwi ukarabati baada ya yeye kufariki.

..angekuwa amewashirikisha watu wengi zaidi ktk vision yake, na kuwa-empower kuwawezesha ktk kuitekeleza, haya unayoyalalamikia yasingetokea.
Angewashirikisha nani kwa mfano?
 
Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa.

Hapa kutakuwa na namna.

Watanzania huu ndio wakati wa kutwangwa vitu vizito.
viView attachment 2259792
Songoro Marine ni TEMESA ?
 
Mama ndo anasema hivi. So ni mpango wa serikali kuachia sekta binafsi.
IMG-20220613-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom