Unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani kwa muda mrefu kwenye friji bila kuungua na barafu au kuoza?

Black Opal

Senior Member
Jan 22, 2023
199
253
Heri ya Pasaka Wakuu,

Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi?

Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga za majani yakikaa hata wiki unakuta yanaanza kuoza taratibu.

Unafanyaje ili kuhifadhi mboga za majani na matunda kwa muda mrefu bila kuungua na barafu au kuoza?
 
Back
Top Bottom