Kukatika katika kwa umeme mkandarasi wa stigler's anadai bil18 hasara , cc Wananchi nani atatufidia, samaki kuoza, vifaa kuungua

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo,

kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa pakubwa.

Hoja yangu ipo hapa, Kama hayo makampuni yanalipwa feza nyingi kutokana na madhila ya kukatika umeme je cc Wananchi ambao ndo tumeathirika pakubwa mno na mkatiko huo wa umeme ikiwemo, samaki kuoza, vifaa vya umeme kuungua, kulipa Kodi huku tunashindwa kuzalisha, kusimama uzalishaji. Na mengine mengi tu.

Nakuomba serikali Kama mtapampa mgeni posho ya bembelezo au athari za kukatika umeme na sisi Wananchi tunataka hiyo penalti mtulipe kwakushindwa kutupa umeme Kama mkataba baina yetu Kama wateja na TANESCO unavyotaka.

Lazma mtulipe, mabeberu mnawalipa hasara zao sisi je
 
Jamaa yenu si amesema lazima umeme ukatike kwa sababu kwanza miundo mbinu mibovu, haiwezi kuendana na uwezo kulingana na eneo.

Mwisho juzi hapo akasema, lazima mkubali mabadiriko na au ni kwa sababu ya uwaziri wake au nafasi ya bimkubwa!.

Aya sasa akalipe hilo deni maana linamuhusu moja kwa moja!.
 
Hiyo Ripoti Ni ya zamani,tunàtaka mpya,Kama huamini Soma Deni la Taifa linaishia lini?
 
umeongea KWA hisia
 
Halafu huyo 'chekibob" anakuja na siasa za kufanya matengenezo.

BTW:Tuliambiwa watumiaji wakubwa wa umeme mf viwanda hawakatiwi ikawaje huyo mkandarasi hakujumuishwa kwenye kundi hilo?

Matokeo ya hii wizara kuendeshwa kwa propaganda na ulaghai yatakuwa yanaonekana with time.
 
Upuuzi mtupu kwanini hawakufunga emergency generators incase of blackout.

Mimi nina mashaka makubwa na hao watendaji wa Wizara,Tanesco.

Kuna watu humo kwa kujua au kutojua wamehujumu huu mradi from day one.
Kiingereza cha mikataba kiliwapiga chenga.
 
Halafu huyo 'chekibob" anakuja na siasa za kufanya matengenezo.

BTW:Tuliambiwa watumiaji wakubwa wa umeme mf viwanda hawakatiwi ikawaje huyo mkandarasi hakujumuishwa kwenye kundi hilo?

Matokeo ya hii wizara kuendeshwa kwa propaganda na ulaghai yatakuwa yanaonekana with time.

..magenge ya ulaji yamebadilishana nafasi.

..haiwezekani genge la msoga likatumia mbinu za ulaji zilizokuwa zikitumiwa na genge la chato.
 
Hiyo billion 18 inaingia kwenye mifuko ya magwiji wa siasa za bongo believe it or not.
 
Jamaa yenu si amesema lazima umeme ukatike kwa sababu kwanza miundo mbinu mibovu, haiwezi kuendana na uwezo kulingana na eneo.

Mwisho juzi hapo akasema, lazima mkubali mabadiriko na au ni kwa sababu ya uwaziri wake au nafasi ya bimkubwa!.

Aya sasa akalipe hilo deni maana linamuhusu moja kwa moja!.
Mabadiriko ndiyo nini!?
 
Naunga mkono lakini pia inawezekana wameaandaa mazingira mkandarasi na mgao ukiwemo mtu aliyeishika Tanesco kipindi hiki anatia mashaka

Back
Top Bottom